ferg
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 1,327
- 1,800
TCL inch 49 unauza bei gani?Feni sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCL inch 49 unauza bei gani?Feni sina
Mnapatikana maeneo gani? 40" Zipo?Brand new star x led TV inch 32@360,000/
Free deliver in dar
0713662655View attachment 910865View attachment 910866
Unapatikana wapi, chukua 400k*INAUZWA*
SAMSUNG TV 40"Series 6
Smart 3D Full HD LED TV-used
*ina mstari kama unavyoiona kwenye kioo*
*Nina mwaka nayo iko hivyo *
Bei 500000/=View attachment 913603View attachment 913604View attachment 913605View attachment 913607View attachment 913608View attachment 913609View attachment 913610
Unapatikana wapi, chukua 400k
ipo kama hujapataNahitaji mkuu, ipo wapi?
njoo whatsapp 0652270700Ntumie picha zake
Laita kama zingekuwa mwanzaSamsung inch 55 led tv bei 1200000/=
TCL Smart tv inch 55 bei 1200000/=
Location magomeni mapipa
Call 0629565168View attachment 909394View attachment 909395View attachment 909396View attachment 909399
Broo husomi headingMwenye kujua bei ya Samsung s7 edge mpya anisaidie tafadhali.
620k mjanja unapata, 650k-680k ndo wanavyouza sehem nying kwa bei ya kuanzia na ukiwa lifuko fuko wanakupga mpk 720k. Halaf umekosea jukwaa ungeomba kwanza kama ulijua hiliMwenye kujua bei ya Samsung s7 edge mpya anisaidie tafadhali.
Habar nahtj tv TLC nch 32 smart Nina 350000 Namba ya cm 0744386325
Star X 32" smart bei ganiStar X 32" HD LED TV
PRICE - 360,000/- CALL/WHATSAPP - 0717016789
FREE DELIVERY IN DAR
USB[emoji3581] HDMI[emoji3581] DTV[emoji3581] WARRANTY [emoji3581] CALL/WHATSAPP - 0717016789View attachment 918394View attachment 918395View attachment 918396