Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Sasa asiseme tunauza za 2015, aseme hatuna hizo rocu tv, kwa mwaka tu tunazo mpaka zilizotengenezwa June 2018
Mkuu mm nitajotoa km mfano km unaweza kuleta ww leta naweka pre order kabisa na nalipia phase 1 kabisaya malipo mzigo ukifika namalizia.
 
hata mimi nahitaji hiyo ya TCL ROKU TV, sijui znapatikana wapi hapa Dar
 
mkuu umenifumbua macho, japo nilikuwa na wazo kama lako, ila sijajua nitaipataje kwa hapa bongo hyo tcl roku tv, huwa naona matangazo ya jumia but nahisi wanaweka tangazo la roku afu kumbe si kweli
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa anapost sana item humu JF nowdays naona ameacha or anapost siku moja moja sana.siku niliyofanikiwa kuwasiliana nae nilimuuliza nin tatizo mbona sioni item JF naona upo busy na Facebook na Instgram jibu lake JF HAKUNA WATEJA KUNA WAJUAJI TU NA SIO WANUNUZI...leo mnalilia TCL roku hapo mwanzo mlikuwa mnalilia UHD (4k) zilipouzwa hizo 4k hata amkununua na walioweza kununua wala awajawai kuplay hizo picha za 4k zenyewe (video ya 4k ya dakika 3 inachukua mpka Mb500 ) Embu punguzeni ujuaji na kuwakatisha tamaa wafanya biashara mtaletewa mpka tv zenye friji humu humu Tulieni basi
 
Jf hii kuna walengaji mkuu wateja wa kazi wapo instgram ndio maana watu km amzing lifestyle awajisumbui ktk page km hii ya JF coz hakuna wateja kuna wajuaji tu
 
Ndicho nilichosema wengi wanaopiga kelele kutaka vitu latest unakuta huko kwake ana LCD 26, Lkn akishagoogle huko na kumeza midude huko atakuja humu ajifanye mjuaji na kujifanya anaitaji, kwani si zipo tv nzuri kibao, lg oled ni tv kali na sidhani kama hizo roku zenu zinaongia, kuna Samsung QLED Ni latest mbona hamnunui, mnang'ang'ania victl vya kichina ambavyo mmeona havipo, siku vikiingia, mtaleta story nyngn
 
Mkuu Series 6 Zipo Madukani. Hata sisi Tunazo na hii TV unayoiona hapo ni ya 2018

Kwa kujifunza zaidi njoo Dukani kariakoo msimbazi ujionee Vitu. Pia ujipatie vitu. Karibu sana. 0717016789
Ila hio TV hapo sio Roku Tv mkuu! Mi nasemea latest TCL TV's in the market angalia 6 series ilivyo hapa halafu ulinganishe na hio uliyonayo hapo dukani!

mkuu umenifumbua macho, japo nilikuwa na wazo kama lako, ila sijajua nitaipataje kwa hapa bongo hyo tcl roku tv, huwa naona matangazo ya jumia but nahisi wanaweka tangazo la roku afu kumbe si kweli
Wakati nanunua yangu msukumo ulikuwa kwenye picha ya mtandao, nikampa hela dadaangu akaniletee nikijua ni Roku Tv cha ajabu ikaletwa ni GoLive tv! Niliboreka kinyamaa na heri ingekuwa ile yenye Android Os hio ikawa Linux haina app store yani ni Youtube tu na browser ambayo inazingua nzito haifungui website zote ni baadhi tu na bado in Hang! Nilinunua Amazing Lifestyle sinza. Kuuliza wananiambia hawanaga Roku ni hizo hizo nikawaambia sasa kwanini mnaweka matangazo ya kuhadaa wateja kwa Product ambayo siyo mnayouza wakabaki kuomba samahani zisizo na mashiko, kuna jamaa alitaka aniuzie Roku Tv toka Nairobi nikajuta kwanini nilimkataa! Na nimechunguza 90% ya wauzaji wa Tv za TCL hapa bongo wanawekaga picha ya Roku Tv ila wanayouza sio Roku tv tuwe makini wazee wenzangu!
 
Sasa TCL na Samsung wapi na wapi, kila mteja ana taste yake we kama unapenda Samsung nunua mi napenda TCL acha ubinafsi! Whats the essence ya kununua QLED tv ama OLED tv kama mahitaji yangu ni Roku Os na budget price! Series 6 inauzwa USD 650 bei elekezi kwa 55" screen na ina function zote muhimu zilizopo kwenye hizo name brands, na mwaka huu TCL wamezindua android QLED tv yao in case hujaskia so usibeze vitu tu! FYI mie nina hio TCL Golive 49" so siongei nisichojua!
 
Na nimekutajia lg oled na Samsung QLED baada ya kuleta dharau kwamba tunauza matv ya kizamani, kama vile iyo tcl roku Tv yko ni ya gharama sana kuliko zote zilizopo tz
 
Na nimekutajia lg oled na Samsung QLED baada ya kuleta dharau kwamba tunauza matv ya kizamani, kama vile iyo tcl roku Tv yko ni ya gharama sana kuliko zote zilizopo tz
Naona badala ya kuleta hoja mnaleta dharau na kebehi tu,sio kila mtu anapenda samsung au ld mzee,tcl ana tv nzuri tu tena kwa low budget kabisa kwan ndo kimbilio la wengi.Tunachouliza mnashindwa vp kuleta hzo wakt sokon zipo kibao mnapochukua ma hzo nyingine?
 
Hamkuuliza hivo, mmekuja na dharau kwamba tunaleta matv yazamani ya mwaka 2015, kama vile iyo mnayoiulizia ni tv bora na ya gharama kuliko zote ambazo sisi hatuwezi kuleta
 
Jamaa hawajui customer care skills hao, biashara haziendi hivyo wao wanalazimisha wanavyotaka wao tuvipende haiwezekani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…