Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Usimdharau usiemjua kaka, Ishi humo!Watu wengine mnajifanya mko update mkiletewa izo tv mnaufyata, nivile tu mtu anataka aonekane yuko latest
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimdharau usiemjua kaka, Ishi humo!Watu wengine mnajifanya mko update mkiletewa izo tv mnaufyata, nivile tu mtu anataka aonekane yuko latest
Usimdharau usiemjua kaka, Ishi humo!
Umeshadharau kwa kauli yako tu, kuufyata maana ntashindwa kuinunua toka kwako ama ntashindwa kuitumia?Sidharau ila iko hivo mkuu
Hiyo ROKU TV ina nini cha tofauti ukilinganisha na TV zingineMna Roku TV?
Mkuu mm nitajotoa km mfano km unaweza kuleta ww leta naweka pre order kabisa na nalipia phase 1 kabisaya malipo mzigo ukifika namalizia.Sasa asiseme tunauza za 2015, aseme hatuna hizo rocu tv, kwa mwaka tu tunazo mpaka zilizotengenezwa June 2018
hata mimi nahitaji hiyo ya TCL ROKU TV, sijui znapatikana wapi hapa DarMbona hizi tv za TCL hamleti latest kama ilivyo kwa LG! Naimani mtu wa kwanza kuleta zile TCL Roku Tv atapiga pesa sana na watu watazipenda mno! Kwanini tunauziana TV za 2015 hadi leo jamani! Kwa sasa TCL ana TV kali sana mpaka hao ma Giant wanatishika! Yani ukiachilia Sony, LG, Samsung wanaofuata kwa mauzo ni TCL na wana TV kali laana zinatumia Roku OS ila sizioni bongo zaidi wengi wanatumiaga picha zake kuuzia haya ma tv ya kizamani!
mkuu umenifumbua macho, japo nilikuwa na wazo kama lako, ila sijajua nitaipataje kwa hapa bongo hyo tcl roku tv, huwa naona matangazo ya jumia but nahisi wanaweka tangazo la roku afu kumbe si kweliYeah unaipata mkuu ingia ebay ama amazon zipo mkuu! Achana na haya ma TCL ya GoLive wanayouza hawa majamaa ni series 2 na 3 mie pia ninalo 49" inches halinogi zaidi ya youtube na screen mirroring function nyengine ziko kama TV ya kawaida tu! Kama una connection Nairobi pia unapata Roku TV bei poa tu. Sahivi TCL wako Series 6 ni hatari sana hizo mashine!
Hata mimi aisee, nitamuunga mkonoMkuu mm nitajotoa km mfano km unaweza kuleta ww leta naweka pre order kabisa na nalipia phase 1 kabisaya malipo mzigo ukifika namalizia.
Jf hii kuna walengaji mkuu wateja wa kazi wapo instgram ndio maana watu km amzing lifestyle awajisumbui ktk page km hii ya JF coz hakuna wateja kuna wajuaji tuKuna jamaa mmoja alikuwa anapost sana item humu JF nowdays naona ameacha or anapost siku moja moja sana.siku niliyofanikiwa kuwasiliana nae nilimuuliza nin tatizo mbona sioni item JF naona upo busy na Facebook na Instgram jibu lake JF HAKUNA WATEJA KUNA WAJUAJI TU NA SIO WANUNUZI...leo mnalilia TCL roku hapo mwanzo mlikuwa mnalilia UHD (4k) zilipouzwa hizo 4k hata amkununua na walioweza kununua wala awajawai kuplay hizo picha za 4k zenyewe (video ya 4k ya dakika 3 inachukua mpka Mb500 ) Embu punguzeni ujuaji na kuwakatisha tamaa wafanya biashara mtaletewa mpka tv zenye friji humu humu Tulieni basi
Kuna jamaa mmoja alikuwa anapost sana item humu JF nowdays naona ameacha or anapost siku moja moja sana.siku niliyofanikiwa kuwasiliana nae nilimuuliza nin tatizo mbona sioni item JF naona upo busy na Facebook na Instgram jibu lake JF HAKUNA WATEJA KUNA WAJUAJI TU NA SIO WANUNUZI...leo mnalilia TCL roku hapo mwanzo mlikuwa mnalilia UHD (4k) zilipouzwa hizo 4k hata amkununua na walioweza kununua wala awajawai kuplay hizo picha za 4k zenyewe (video ya 4k ya dakika 3 inachukua mpka Mb500 ) Embu punguzeni ujuaji na kuwakatisha tamaa wafanya biashara mtaletewa mpka tv zenye friji humu humu Tulieni basi
Ila hio TV hapo sio Roku Tv mkuu! Mi nasemea latest TCL TV's in the market angalia 6 series ilivyo hapa halafu ulinganishe na hio uliyonayo hapo dukani!Mkuu Series 6 Zipo Madukani. Hata sisi Tunazo na hii TV unayoiona hapo ni ya 2018
Kwa kujifunza zaidi njoo Dukani kariakoo msimbazi ujionee Vitu. Pia ujipatie vitu. Karibu sana. 0717016789
Wakati nanunua yangu msukumo ulikuwa kwenye picha ya mtandao, nikampa hela dadaangu akaniletee nikijua ni Roku Tv cha ajabu ikaletwa ni GoLive tv! Niliboreka kinyamaa na heri ingekuwa ile yenye Android Os hio ikawa Linux haina app store yani ni Youtube tu na browser ambayo inazingua nzito haifungui website zote ni baadhi tu na bado in Hang! Nilinunua Amazing Lifestyle sinza. Kuuliza wananiambia hawanaga Roku ni hizo hizo nikawaambia sasa kwanini mnaweka matangazo ya kuhadaa wateja kwa Product ambayo siyo mnayouza wakabaki kuomba samahani zisizo na mashiko, kuna jamaa alitaka aniuzie Roku Tv toka Nairobi nikajuta kwanini nilimkataa! Na nimechunguza 90% ya wauzaji wa Tv za TCL hapa bongo wanawekaga picha ya Roku Tv ila wanayouza sio Roku tv tuwe makini wazee wenzangu!mkuu umenifumbua macho, japo nilikuwa na wazo kama lako, ila sijajua nitaipataje kwa hapa bongo hyo tcl roku tv, huwa naona matangazo ya jumia but nahisi wanaweka tangazo la roku afu kumbe si kweli
Sasa TCL na Samsung wapi na wapi, kila mteja ana taste yake we kama unapenda Samsung nunua mi napenda TCL acha ubinafsi! Whats the essence ya kununua QLED tv ama OLED tv kama mahitaji yangu ni Roku Os na budget price! Series 6 inauzwa USD 650 bei elekezi kwa 55" screen na ina function zote muhimu zilizopo kwenye hizo name brands, na mwaka huu TCL wamezindua android QLED tv yao in case hujaskia so usibeze vitu tu! FYI mie nina hio TCL Golive 49" so siongei nisichojua!Ndicho nilichosema wengi wanaopiga kelele kutaka vitu latest unakuta huko kwake ana LCD 26, Lkn akishagoogle huko na kumeza midude huko atakuja humu ajifanye mjuaji na kujifanya anaitaji, kwani si zipo tv nzuri kibao, lg oled ni tv kali na sidhani kama hizo roku zenu zinaongia, kuna Samsung QLED Ni latest mbona hamnunui, mnang'ang'ania victl vya kichina ambavyo mmeona havipo, siku vikiingia, mtaleta story nyngn
Sawa boss tutaelekea huko!Sasa si ushasema nairobi tu zipo hapo? Nenda mkuu kanunue kelele ziishe, bongo hamna tcl roku Tv
Naona badala ya kuleta hoja mnaleta dharau na kebehi tu,sio kila mtu anapenda samsung au ld mzee,tcl ana tv nzuri tu tena kwa low budget kabisa kwan ndo kimbilio la wengi.Tunachouliza mnashindwa vp kuleta hzo wakt sokon zipo kibao mnapochukua ma hzo nyingine?Na nimekutajia lg oled na Samsung QLED baada ya kuleta dharau kwamba tunauza matv ya kizamani, kama vile iyo tcl roku Tv yko ni ya gharama sana kuliko zote zilizopo tz
Mkuu tuachane nao maana wamebaki kung'ang'ania hzo wazipendazo wao tu.Sawa boss tutaelekea huko!
Naona badala ya kuleta hoja mnaleta dharau na kebehi tu,sio kila mtu anapenda samsung au ld mzee,tcl ana tv nzuri tu tena kwa low budget kabisa kwan ndo kimbilio la wengi.Tunachouliza mnashindwa vp kuleta hzo wakt sokon zipo kibao mnapochukua ma hzo nyingine?
Jamaa hawajui customer care skills hao, biashara haziendi hivyo wao wanalazimisha wanavyotaka wao tuvipende haiwezekani!Naona badala ya kuleta hoja mnaleta dharau na kebehi tu,sio kila mtu anapenda samsung au ld mzee,tcl ana tv nzuri tu tena kwa low budget kabisa kwan ndo kimbilio la wengi.Tunachouliza mnashindwa vp kuleta hzo wakt sokon zipo kibao mnapochukua ma hzo nyingine?