Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Boss zinaendaje hizo kwa kila mojaAlhamdulillah, From ZANZIBAR TO IRINGA, shukran za dhati kwa watu wa IRINGA kwa kusaport hizi juhudi, Allah awabariki sanaView attachment 1161323View attachment 1161325View attachment 1161328
290000Boss zinaendaje hizo kwa kila moja
290000
[/QUOTEziko vizuri siku ukipata led au smart mtumba yenye hali nzuri unijuze Boss nilipie Ata kwa awamu mbili .Nimuwekee shemeji yako ndani nina mahaba makubwa na LG tv kaka hasa zile ambazo ni maalumu kuuzwa kwa mataifaya magharibi huko
Mkuu nikizipokea ntakufanyia kampango furani hivi....Alhamdulillah, From ZANZIBAR TO IRINGA, shukran za dhati kwa watu wa IRINGA kwa kusaport hizi juhudi, Allah awabariki sanaView attachment 1161323View attachment 1161325View attachment 1161328
Hivi busta unazoAhsanteni kwa suport zenu, Mungu awabariki sanaView attachment 1160257View attachment 1160258View attachment 1160259
Ahsante kaka, tuko pa1Mkuu nikizipokea ntakufanyia kampango furani hivi....
Busta hatuna mkuuHivi busta unazo
Vioo hamna nduguRafiki natafuta kioo cha tv
Samsung inch 43 Plasma
kuna mtu alinambia kuwa huko Znz vipo vingi
iwapo ni kweli naweza kutumia
Specifications zake
Zipo mkuu, sio ipoHii bado ipo?
Mambo mengine bwana yani kodi ya TRA bandarini, usafiri hadi mahala aliko Valentino haya yote umeyaweka kwenye hiyo bei au ikoje?Alhamdulillah, From ZANZIBAR TO IRINGA, shukran za dhati kwa watu wa IRINGA kwa kusaport hizi juhudi, Allah awabariki sanaView attachment 1161323View attachment 1161325View attachment 1161328
Naomba kujua pia hii mizigo wewe unaitolea wapi kwa maana ya bandari gani?Alhamdulillah, Zanzibar to Dar, moja kwa mteja mmoja alietusikia na kutuamini, Mungu akubarikiView attachment 1162167View attachment 1162168View attachment 1162169