Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hiinkwa kulipia kdgokdgo mwisho muda gan na vp me kuipata kwa Sumbawanga naipata kwa bei ip mkuu?
Inawezekana mkuu kulipa kidogo kidogo, hatukuekei limit ya mda kwa 7bu tv tunazo nyngi, so mda wako tu, mpaka sumbawanga itakufika kwa 720000 mkuu
 
Phillips smart tv used
Inches 42
With 3d features
Hdmi port
USB port
Ipo clean sanaaa
Price 680
Location Dar
Call 0762142401
 
Duuuh sasa ndio tushanunua ivo tutabadili adi lini mkuu anywey angali jingine hili jipya

Ficha namba Tajiri wasalimie MPEKENYERA hadi liwale na Pale Darajani mbwe mkuru πŸ˜€πŸ˜€ Sijui lile daraja liko poa sikuhizi early of 2004 Daraja lilikatikaga hapo na kuna mto mkubwa sana.
 
Ficha namba Tajiri wasalimie MPEKENYERA hadi liwale na Pale Darajani mbwe mkuru πŸ˜€πŸ˜€ Sijui lile daraja liko poa sikuhizi early of 2004 Daraja lilikatikaga hapo na kuna mto mkubwa sana.
Wa kuidhuru namb yangu mie atakua hana akili tu .ulikuja fanya nn huko kitambo hiko kumbe ni kaka angu eeeh au ndio kwenu?
By the way ata mkuu alipost huo picha hapo
 
Tanga moja, alhamdulillah
Asante mdau kwa support, enjoy life na lg uhd tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…