Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mkuu nnazo star x 24" ni nzuri kwa hiyo shughuli bei ntakuuzia kwa 220000 tu
37fa4250b22f384bd69246d450ca961e.jpg
0cef497e8eb61e840252fa9c920e63ac.jpg
aee5f03bccc50bb64cbdd27a5d6a19e4.jpg

Contact: 0777650286 & 0718919725
Hiz zina kungamuz cha ndan mkuu......?
 
Hiinkwa kulipia kdgokdgo mwisho muda gan na vp me kuipata kwa Sumbawanga naipata kwa bei ip mkuu?
Inawezekana mkuu kulipa kidogo kidogo, hatukuekei limit ya mda kwa 7bu tv tunazo nyngi, so mda wako tu, mpaka sumbawanga itakufika kwa 720000 mkuu
 
34A78A4C-BB07-4D5A-8247-E85C852293F3.jpeg
9D1388F6-63F1-43EC-83C2-0E047E9DA22A.jpeg
4C38C8E5-0E8E-4E8B-98F7-7B4437678107.jpeg
Phillips smart tv used
Inches 42
With 3d features
Hdmi port
USB port
Ipo clean sanaaa
Price 680
Location Dar
Call 0762142401
 
Duuuh sasa ndio tushanunua ivo tutabadili adi lini mkuu anywey angali jingine hili jipya

Ficha namba Tajiri wasalimie MPEKENYERA hadi liwale na Pale Darajani mbwe mkuru 😀😀 Sijui lile daraja liko poa sikuhizi early of 2004 Daraja lilikatikaga hapo na kuna mto mkubwa sana.
 
Ficha namba Tajiri wasalimie MPEKENYERA hadi liwale na Pale Darajani mbwe mkuru 😀😀 Sijui lile daraja liko poa sikuhizi early of 2004 Daraja lilikatikaga hapo na kuna mto mkubwa sana.
Wa kuidhuru namb yangu mie atakua hana akili tu .ulikuja fanya nn huko kitambo hiko kumbe ni kaka angu eeeh au ndio kwenu?
By the way ata mkuu alipost huo picha hapo
 
Tanga moja, alhamdulillah
Asante mdau kwa support, enjoy life na lg uhd tv
IMG_20190731_112535.jpeg
 
Back
Top Bottom