Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Na Arusha una sehemu ya kuagizia na kulipia?Kitu kingene ndugu kukuhakikishia usalama kuna maeneo unaweza kuagiza ukalipa baada ya kupokea, kama Dar, Mbeya, Lindi na Mtwara, Dodoma na hata Singida
Kwa sasa tumesitisha kwa mda, Huyo aliekua anafanya hiyo kazi anaumwa yupo darNa Arusha una sehemu ya kuagizia na kulipia?
bado ipo vp nikiwa nje ya darSamsung inch 32 smart tv.
Bei; Tsh 290,000
Location: Iringa
Kama uko Dar unasafirishiwa free halafu ndio unakuja kulipia.
Nipigie 0744033555
Kuna jamaa humu anaitwa amani mfaume anauza tv naomba mumtag namtafuta nataka tv
Nipe No zake huyo mfaume
Labda upate mtu akuuzie used mkuu.Nahitaji smart tv bajeti yangu ni 500,000. Iwe star x au hisense. Npo Tarime mjini.
0762908352.
Note: iwe nchi 43
Tv: Samsung 40 inch LED FULL HD TV
Resolution: 1920 x 1080 p
Hali: Imetumika miezi 4 (sawa na mpya)
Bei: 650,000/- (280 USD) - bei iko fixed (HAIPUNGUI)
Sehemu: Ukonga, Dar es Salaam
Mawasiliano: 0687 053 399 (tafadhali tuma ujumbe wa sms tu (sio whatsapp), nitajibu haraka iwezekanavyo)
Hisense 330000tv inch 32 nahitaji mpya bei gani napata
Mkuu TCL 50" smart ni bei gani kwa bei ya Zanzibar,na kusafirisha mwanza bei ipoje?PamaHisense 330000
Panasonic 330000
Sony 440000
Tupo Zanzibar
PamaHisense 330000
Panasonic 330000
Sony 440000
Tupo Zanzibar
Mkuu TCL 50" smart ni bei gani kwa bei ya Zanzibar,na kusafirisha mwanza bei ipoje?
nitume nipo dar