Rcrusso Jr
Senior Member
- Jul 26, 2020
- 184
- 421
Kuweka bei zote hapa ni mlolongo mrefu kiongozi kwa maana tv zipo za ukubwa tofauti na company tofauti tofauti hivyo ni vyema wewe kuja na kampuni na ukubwa unaohitaji mimi nitakupatia bei bila wasi.. karibu sana au waweza whatsap / kupiga number 0714953336.. pia waweza kuja na bajeti yako nikakuambia hapo utapata company gani na ukubwa upi kwa uhitaji wako.. shukrani.Weka bei ya tv mkuu, alafu unieleweshe unavyosema malipo ni baada ya delivery unakuwa umemaanisha nini, maana me nimeelewa baada ya kuupokea mzigo ndio nakulipa
Laki 4 napokea mzigo baggage room?Android zipo TCL 400000View attachment 1696613
Laki 4 napokea mzigo baggage room?
Nje ya Zanzibar inakua Tzs ngapi?Kwa Zanzibar ndio, nje ya Zanzibar hapana
Nje ya zanzibar inakua Tzs ngapi?
DarWapi upo
Mkuu huu msala nani ataubeba[emoji15]Ninayo
HISENSE SMART TV 49INCH
MPYA KWENYE BOX NIMEVUNJA KIOO KWENYE USHUSHAJI... HAIJAWAHI KUTUMIKA NI MPYA
INA TATIZO LA KIOO TU
NJOO NA OFFER YAKO
View attachment 1698734View attachment 1698735View attachment 1698736View attachment 1698737View attachment 1698738View attachment 1698742View attachment 1698739View attachment 1698740View attachment 1698741
Weka pichaSony home theatre watts 1000 spika fupi zote
Bluetooth
Hdmi
Optical
Price 450,000tsh
Location Dar
Sawa mkuu, ngoja nijipange kwa hiyo LG mkuu nitakuchekiKwa hometeater mkuu labda ya 300W ambayo mziki sio kiviile, halafu haina Bluetooth.View attachment 1701777
Labda lakini umpate mtu ako na shida hatari ndio atakupa kwa bei hiyo.. ila kama mpya andaa 700k above .. njoo whatsap 0714953336Inahitajika led tv hysense au tcl full box 43 inch
450k ipo mfuko wa shati
Weka picha
NimekutumiaNauza Tv aina ya Hisense(Android Tv)... 50" na ni mpya kabisa ina almost 2 weeks....Napatikana kwa namba 0746960666,,Kinondoni mkwajuni...Risiti na warranty vipo!!
View attachment 1702206View attachment 1702207View attachment 1702208
750k fixedNimekutumia
Mkuu una tv gani smart na latest 55" brand ambayo sio samsung na bei zake. Nimekosa imani na samsung huwa zinazingua na kufa zinaonyesha mirangi rangi mieusi bila sababu.