kuhusu size nunua size kubwa upendayo nashauri nunua kubwa kadri uwezavyo Screen kubwa ina raha sana.. Kama hela inaruhusu chukua ich 65 kwenda mbele.wakuu wauzaji wa tv nina uhitaji wa tv kwa matumizi ya chumbani naombeni ushauri na mniuzie pia je ni tv ipi nzuri kati ya smart au led na brand napenda hisence kutokana na bei zao nazimudu na kingine kwa chumba cha kulala ukubwa gani ni sahihi asanteni.
650.000/=nna laki6 naweza kupata tv nchi43 wakuu
560.000/=nna laki6 naweza kupata tv nchi43 wakuu
630,000/=nna laki6 naweza kupata tv nchi43 wakuu
Yaani feature za smart ni mbwembwe tu.ahsante mkuu ntawatafuta hawa,,! ila naomba msaada ipi ni tofauti ya Led tv na Smartv,,! na ipi nzuri kwa kijana kuwa nayo home
Mimi nimeagiza TV Samsung 4K 55 inches mara mbili kutoka kwa bwana Abdulwahid huko Zanzibar, na zilifika mkoani salama kabisa,na wala sijawahi onana na huyu jamaa...JE, KUNA YEYOTE ALIYEWAHI KUAGIZA TV KUTOKA ZANZIBAR NA AKAFIKISHIWA ALIPO BILA TABU? NA JE ULILIPA JE? NA ULIPATA KWA MUUZAJI GANI?
TAFADHALI TUJUZANE MAANA NAONA MATANGAZO MENGI. NA KUNA MTU HUMU ANASIFIKA SANA SIKU ZA NYUMA KWA KUUZA TV. SIJUHI KUNA YEYOTE ANAMFAHAMU??
JE, KUNA YEYOTE ALIYEWAHI KUAGIZA TV KUTOKA ZANZIBAR NA AKAFIKISHIWA ALIPO BILA TABU? NA JE ULILIPA JE? NA ULIPATA KWA MUUZAJI GANI?
TAFADHALI TUJUZANE MAANA NAONA MATANGAZO MENGI. NA KUNA MTU HUMU ANASIFIKA SANA SIKU ZA NYUMA KWA KUUZA TV. SIJUHI KUNA YEYOTE ANAMFAHAMU??
Asante nilikuwa natafuta huyu ndugu. Shukurani.Mjaribu jamaa humu anaitwa Abdulwahid
Usithubutu kukimbizana na wale vishoka wa insta, utaliwa pesa yako na haki yako usiipate popote...
Asante sana, kwa kunipa uhakika. Nitamcheki.Mimi nimeagiza TV Samsung 4K 55 inches mara mbili kutoka kwa bwana Abdulwahid huko Zanzibar, na zilifika mkoani salama kabisa,na wala sijawahi onana na huyu jamaa...
Yuko proper sana,top notch customer service and very trustworthy
Check na huyu Abdulwahid nimekuwa nikifanya nae biashara na kupokea mizigo mikoani na simjui hata sura yake.JE, KUNA YEYOTE ALIYEWAHI KUAGIZA TV KUTOKA ZANZIBAR NA AKAFIKISHIWA ALIPO BILA TABU? NA JE ULILIPA JE? NA ULIPATA KWA MUUZAJI GANI?
TAFADHALI TUJUZANE MAANA NAONA MATANGAZO MENGI. NA KUNA MTU HUMU ANASIFIKA SANA SIKU ZA NYUMA KWA KUUZA TV. SIJUHI KUNA YEYOTE ANAMFAHAMU??
Poa,Check na huyu Abdulwahid nimekuwa nikifanya nae biashara na kupokea mizigo mikoani na simjui hata sura yake.
Model noNina TCL smart TV 32" Imevunjika kioo
Nauza TV Aina ya Samsung curved innch 49 4k full HD
Nipo dodoma
Imetumika kwa muda wa miez minne tuuh na Imetuzwa sana haijawahi kua na tatzo lolote tangu ninunue na kutumia
Bei n Tsh Million 1,000,000
Dukan nlinunua million 1,480,000/=
#mawasiliano zaid kwa muhitaji Call/watsapp 0718436694 View attachment 2107147View attachment 2107148View attachment 2107146