Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Wakuu nawashukuru sana kwa kuleta ushuhuda, ukweli wapo wengi nimefanya nao biashara humu sema wengi hawapendi kuleta mrejesho baada ya kupokea mizigo yao, hata hivo nawashukuru nyote kwa kutuamini kufanikisha bishara hii
 
Mkuu hongera kwa uaminifu wako naimani utafika mbali in shaa allah!
 
naomba bei ya hizi tv tufanye biashara
Tcl 32 na 40 smart
lg smart au yenye kingamuzi 32
samsung smart 32
star x 32/40
Lg smart 43" bei 1.2m
Lg smart 49" 1.5m
Star x led 32" 320000
Lg led 32" 450000 (haina king'amuzi)
Tcl smart 40" 650000
Hizo nyengine kwa sasa hatuna mkuu
Kwa mawasiliano zaid nicheki 0777650286 & 0718919725
 
Mkuu Abdulwahid mimi nina ombi tofauti kidogo. Ninaweza kupata Game Pads (Controllers) za PS2 & PS3? Samahani kama nimeenda nje ya lengo la thread but nimekuona ni mtu mwema na unayefaa kuuliza. Msaada wa namna yoyote ile utakuwa appreciated. Mungu akubariki sana.
 
Mkuu hiyo ndo kubwa ya mwisho?? Nijibu mkuu na pia mimi nipo iringa naweza kuipataje hiyo
 
Mkuu huko nje ya mada, ukweli ni kwamba mimi hizi sideal nazo ila naweza kukuunganisha na rafiki yangu ambae anashughulika na masuala haya ya game, mrafute huyu 0773620990 nadhani utafanikisha in shaa Allah
 
Ninashukuru sana kaka. Mungu akubariki uendelee kuwa na moyo huohuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…