Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mkuu sony hometheatre tayari zimeingia
5f7a69f2ba19cee5db9d6b9eccdf2963.jpg
00b3ceef089db809cb6ab3c4b995c323.jpg
Mkuu una Audio conveter( i mean kuna baadhi ya tv hasa hasa Samsung smart tv kwenye upande wa audio kama unataka ku-connect na Sabufa hazisupport hizi cable za kawaida za AV...zenyewe zinahitaji optical audio cable na ukiaangalia sabufa nyingi hazina hizo port za optical cable) So kuna kifaa flan hv kinaweza fanya hio connection kinaitwa Audio conveter.!!

Je hio scenario unaijua? Vp hapo dukan kwako vinapatikana?
 
Hizi hatuna kiongozi
 
Mkuu Abdulwahid naomba kufaham bei ya sony hometheater BDV-E6100 na sony 4k tv xbr-49x830c tafadhali...ahsante
 
Kuna thread uliandika mtu analipia akishapata mzigo... Je hujakutana na matapeli? Na unafanya nn kuhakikisha pesa yako unaipata?
 
Si maeneo yote ya nchi nafanya hivo, hayo ni kwa maeneo ambayo tuna wawakilishi wetu tu, ambayo ni dar, tanga, arusha na moshi kilimanjaro, sehem nyengine ambazo hatuna wawakilishi utalipia kwanza ndo tutakutumia mzigo wako, natanguliza shukrani
 
Nimekupata mkuu.
 
Mkuu una Audio conveter( i mean kuna baadhi ya tv hasa hasa Samsung smart tv kwenye upande wa audio kama unataka ku-connect na Sabufa hazisupport hizi cable za kawaida za AV...zenyewe zinahitaji optical audio cable na ukiaangalia sabufa nyingi hazina hizo port za optical cable) So kuna kifaa flan hv kinaweza fanya hio connection kinaitwa Audio conveter.!!

Je hio scenario unaijua? Vp hapo dukan kwako vinapatikana?
Mkuu hiyo smart yako huitendei haki itaftie angalau home theater na siyo sabwoofer[emoji12]
 
Naelewaa sana Mkuu....Home theater bei ipo juu...sema ndo nafanyia mpango ili nikamate. but nina sabwoofer yangu hapa naona siitumii ipo ipo tuu
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Naelewaa sana Mkuu....Home theater bei ipo juu...sema ndo nafanyia mpango ili nikamate. but nina sabwoofer yangu hapa naona siitumii ipo ipo tuu
Pamoja mkuu
 
Wakuu
100,000 au 150,000 nitapata Tv ya aina gani?
Nahitaji
 
Mwenye TV flat aina yoyote inch 19, nahitaji mbili bei 100,000/= mpk 150,000/= ni pm
 
Back
Top Bottom