Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

a36a892941ea880dd55cbbee5ae0d37e.jpg
5110b3e6104857a2d5b335fdd446cd29.jpg
Shehe nipe bei ya Sony bravia inch 32 na pamoja na Samsung inch 32
 
Mkuu OTE="Abdulwahid, post: 19390179, member: 218718"]0654468393 mtafuteni huyo mshkaj anadili na tv ndogo bila ya shaka mtapata kwa bajeti hizo[/QUOTE]
Mkuu, bajet ya laki 4 nitapata flat tv ya inch ngp na bei gan
 
Mkuu OTE="Abdulwahid, post: 19390179, member: 218718"]0654468393 mtafuteni huyo mshkaj anadili na tv ndogo bila ya shaka mtapata kwa bajeti hizo
Mkuu, bajet ya laki 4 nitapata flat tv ya inch ngp na bei gan[/QUOTE]
Star x led 32" kwa 330000 au tcl smart 32" kwa 400000
6a7b8dd7a7cdeb3d6b6a59a88f82dbde.jpg
a31d9a5a808f1e7bdb5484a254bb8565.jpg
 
Kwa xperience na ushauri... Hii na Samsung inatafauti gani? Apart from brand...quality ya picture ikoje? Or kuna complain umewahi kupata?
Ubora wa picha haziwezi kuwa sawa, samsung ina picha angavu zaidi ingawa star x nayo inajitahidi, mpaka sasa nashkuru sijawahi kupata malalamiko yoyote
 
Back
Top Bottom