Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
Mkuu una Audio conveter( i mean kuna baadhi ya tv hasa hasa Samsung smart tv kwenye upande wa audio kama unataka ku-connect na Sabufa hazisupport hizi cable za kawaida za AV...zenyewe zinahitaji optical audio cable na ukiaangalia sabufa nyingi hazina hizo port za optical cable) So kuna kifaa flan hv kinaweza fanya hio connection kinaitwa Audio conveter.!!Mkuu sony hometheatre tayari zimeingia![]()
![]()
Je hio scenario unaijua? Vp hapo dukan kwako vinapatikana?