Mkuu una Audio conveter( i mean kuna baadhi ya tv hasa hasa Samsung smart tv kwenye upande wa audio kama unataka ku-connect na Sabufa hazisupport hizi cable za kawaida za AV...zenyewe zinahitaji optical audio cable na ukiaangalia sabufa nyingi hazina hizo port za optical cable) So kuna kifaa flan hv kinaweza fanya hio connection kinaitwa Audio conveter.!!Mkuu sony hometheatre tayari zimeingia
Hizi hatuna kiongoziMkuu una Audio conveter( i mean kuna baadhi ya tv hasa hasa Samsung smart tv kwenye upande wa audio kama unataka ku-connect na Sabufa hazisupport hizi cable za kawaida za AV...zenyewe zinahitaji optical audio cable na ukiaangalia sabufa nyingi hazina hizo port za optical cable) So kuna kifaa flan hv kinaweza fanya hio connection kinaitwa Audio conveter.!!
Je hio scenario unaijua? Vp hapo dukan kwako vinapatikana?
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni
stat x 50 zikoje hzo?Ni hizo hometheatre na tv za star x smart 50" tu mkuu
Hii hatuna mkuuMkuu Abdulwahid naomba kufaham bei ya sony hometheater BDV-E6100 na sony 4k tv xbr-49x830c tafadhali...ahsante
Si maeneo yote ya nchi nafanya hivo, hayo ni kwa maeneo ambayo tuna wawakilishi wetu tu, ambayo ni dar, tanga, arusha na moshi kilimanjaro, sehem nyengine ambazo hatuna wawakilishi utalipia kwanza ndo tutakutumia mzigo wako, natanguliza shukraniKuna thread uliandika mtu analipia akishapata mzigo... Je hujakutana na matapeli? Na unafanya nn kuhakikisha pesa yako unaipata?
Nimekupata mkuu.Si maeneo yote ya nchi nafanya hivo, hayo ni kwa maeneo ambayo tuna wawakilishi wetu tu, ambayo ni dar, tanga, arusha na moshi kilimanjaro, sehem nyengine ambazo hatuna wawakilishi utalipia kwanza ndo tutakutumia mzigo wako, natanguliza shukrani
Karibu sana mkuuNimekupata mkuu.
bei ngapi hii mkuu
Hii hatuna mkuu
950000bei ngapi hii mkuu
Mkuu hiyo smart yako huitendei haki itaftie angalau home theater na siyo sabwoofer[emoji12]Mkuu una Audio conveter( i mean kuna baadhi ya tv hasa hasa Samsung smart tv kwenye upande wa audio kama unataka ku-connect na Sabufa hazisupport hizi cable za kawaida za AV...zenyewe zinahitaji optical audio cable na ukiaangalia sabufa nyingi hazina hizo port za optical cable) So kuna kifaa flan hv kinaweza fanya hio connection kinaitwa Audio conveter.!!
Je hio scenario unaijua? Vp hapo dukan kwako vinapatikana?
Naelewaa sana Mkuu....Home theater bei ipo juu...sema ndo nafanyia mpango ili nikamate. but nina sabwoofer yangu hapa naona siitumii ipo ipo tuuMkuu hiyo smart yako huitendei haki itaftie angalau home theater na siyo sabwoofer[emoji12]
Pamoja mkuuNaelewaa sana Mkuu....Home theater bei ipo juu...sema ndo nafanyia mpango ili nikamate. but nina sabwoofer yangu hapa naona siitumii ipo ipo tuu
0654468393 mtafuteni huyo mshkaj anadili na tv ndogo bila ya shaka mtapata kwa bajeti hizoWakuu
100,000 au 150,000 nitapata Tv ya aina gani?
Nahitaji
Mwenye TV flat aina yoyote inch 19, nahitaji mbili bei 100,000/= mpk 150,000/= ni pm
Nina 1.3 kwa hii tvLg uhd tv 49" 4k
Brand new 2016
Price 1.7m