Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Abdulwahid, nina bajeti ya 600,000 nitapata kweli led tv ya kuanzia 40inches kwenda juu?
 
Abdulwahid, nina bajeti ya 600,000 nitapata kweli led tv ya kuanzia 40inches kwenda juu?
Mkuu kama utaifata mwenyewe huku utapata kwa star x 43" kwa 580000 ukitaka na usafiri ni 650000
 
Star x umesema mpk dar 330000 so usafir 70? Na star x zna warrant?
 
Mkuu kama utaifata mwenyewe huku utapata kwa star x 43" kwa 580000 ukitaka na usafiri ni 650000
Mkuu nikitaka star x inchi 50 au 55 kama size hizo zipo nikaifata mwenye znz nitapata kwa shilingi ngapi?
 
Star x umesema mpk dar 330000 so usafir 70? Na star x zna warrant?
Hapana mkuu 330000 unainunua hapa zanzibar, mpaka dar ni 380000, na hii nikutokana na usafiri pamoja na kodi apo bandarini dar
 
Aanh nmekuelewa mkuu tofauti na Samsung zenye warrant n zpi na bei kwa 32 plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…