Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tcl smart 32" ni 450000 mpaka unaipokea hapo mwanzaNipe bei mkuu
Juu yetu, wewe unapokea tu tv yako kwa hiyo gharamaGharama za usafiri
Star x 400000, tcl 450000, samsung 500000Mkuu star x 32. samsung 32.ltc32 mpk mbeya sh ngap
Mkuu kama utaifata mwenyewe huku utapata kwa star x 43" kwa 580000 ukitaka na usafiri ni 650000Abdulwahid, nina bajeti ya 600,000 nitapata kweli led tv ya kuanzia 40inches kwenda juu?
Mkuu nikitaka star x inchi 50 au 55 kama size hizo zipo nikaifata mwenye znz nitapata kwa shilingi ngapi?Mkuu kama utaifata mwenyewe huku utapata kwa star x 43" kwa 580000 ukitaka na usafiri ni 650000
Hapana mkuu 330000 unainunua hapa zanzibar, mpaka dar ni 380000, na hii nikutokana na usafiri pamoja na kodi apo bandarini darStar x umesema mpk dar 330000 so usafir 70? Na star x zna warrant?
50" 850000, 55" hatuna kwa sasaMkuu nikitaka star x inchi 50 au 55 kama size hizo zipo nikaifata mwenye znz nitapata kwa shilingi ngapi?
Asante mkuu nimekuelewa, allah akufanyie mepesi. Nitakutafuta juma3.Mkuu kama utaifata mwenyewe huku utapata kwa star x 43" kwa 580000 ukitaka na usafiri ni 650000
Sawa...star x zna warrant???Hapana mkuu 330000 unainunua hapa zanzibar, mpaka dar ni 380000, na hii nikutokana na usafiri pamoja na kodi apo bandarini dar
Kheri inshaa AllahAsante mkuu nimekuelewa, allah akufanyie mepesi. Nitakutafuta juma3.
Ya kiwandani hazina ila sisi tunakupa 3 mothsSawa...star x zna warrant???
Lg mkuuAanh nmekuelewa mkuu tofauti na Samsung zenye warrant n zpi na bei kwa 32 plz
Mkuu ni pm no yakoTcl smart 32" ni 450000 mpaka unaipokea hapo mwanza
Nahitaji tv flat kuanzia 32" nipo korogwe iwe LG AU SAMSUNG