TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
Zipo mkuu brand new kabisa
Lg=570000
Samsung=530000
Mkuu tunazo zote, lg na samsung 32" tunauza 450000, sema huko sina means yoyote ya kukuletea, naweza kukuletea mpaka tanga mjini kama utakua tayariNahitaji tv flat kuanzia 32" nipo korogwe iwe LG AU SAMSUNG
Mkuu tunazo zote, lg na samsung 32" tunauza 450000, sema huko sina means yoyote ya kukuletea, naweza kukuletea mpaka tanga mjini kama utakua tayari
Hizi tv mkuu hua namuona tu jamaa flan hapa zanzibar anazishusha kwa wingi lakn once akizishusha tu hua anazipeleka dar, hauzii hapa, so sina uelewa nazo kabisa, na huku hamna mtu anauza hizi tvNaomba kukuulza abdulwahid kuna TV znaitwa skyweath nimeambia n part ya Samsung je n kwel ?
Nauza TV mpya Samsung smart TV inch 32.
Ina warrantee ya 24 months na tangu ninunue ina miezi 2 tu. Haina tatizo lolote.
Tsh. 500000
Use PM to contact me
PM mkuu. We can negotiatelaki 4 vipi unachukua
Mkuu siku si nyingi nitakutafuta nichukue mizigo.Si maeneo yote ya nchi nafanya hivo, hayo ni kwa maeneo ambayo tuna wawakilishi wetu tu, ambayo ni dar, tanga, arusha na moshi kilimanjaro, sehem nyengine ambazo hatuna wawakilishi utalipia kwanza ndo tutakutumia mzigo wako, natanguliza shukrani
Lg zipo 49" 1.2m, samsung 50" 1.3m, sony hometheatre zipo dz 650 tunauza 650000, frigi hatuhusiki nazoMkuu siku si nyingi nitakutafuta nichukue mizigo.
Hivi LG nchi 50 ipo? na bei ngp?
Au Samsung nchi 50 bei ngp?
Pia sony home theater bei ngp?
Na frig pia ufafanuzi plz
Mchi ngapi hii mkuu weka namba ya tigoideal for small shops and the likes, tv chogo inch 14 kwa tshs 50,000/- tel 0625618177View attachment 450817
Tanga unamtu unamtumia ili nikitaka nichukue kwake au una ofisi. Nitahitaji tr 3Hizi tv mkuu hua namuona tu jamaa flan hapa zanzibar anazishusha kwa wingi lakn once akizishusha tu hua anazipeleka dar, hauzii hapa, so sina uelewa nazo kabisa, na huku hamna mtu anauza hizi tv
Tunayo mkuu barabara ya nane pale msikiti wa ijumaaTanga unamtu unamtumia ili nikitaka nichukue kwake au una ofisi. Nitahitaji tr 3