Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Tangazeni vyote lakini hakikisha usimtumie mtu hela wala mzigo kabla haujajiridhishaa
 
Naomba kukuulza abdulwahid kuna TV znaitwa skyweath nimeambia n part ya Samsung je n kwel ?
 
Naomba kukuulza abdulwahid kuna TV znaitwa skyweath nimeambia n part ya Samsung je n kwel ?
Hizi tv mkuu hua namuona tu jamaa flan hapa zanzibar anazishusha kwa wingi lakn once akizishusha tu hua anazipeleka dar, hauzii hapa, so sina uelewa nazo kabisa, na huku hamna mtu anauza hizi tv
 
Nauza TV mpya Samsung smart TV inch 32.
Ina warrantee ya 24 months na tangu ninunue ina miezi 2 tu. Haina tatizo lolote.
Tsh. 500000
Use PM to contact me
 
Attachments

  • 20170122_114454.jpg
    20170122_114454.jpg
    42.4 KB · Views: 83
  • 20170122_114524.jpg
    20170122_114524.jpg
    68.1 KB · Views: 81
Si maeneo yote ya nchi nafanya hivo, hayo ni kwa maeneo ambayo tuna wawakilishi wetu tu, ambayo ni dar, tanga, arusha na moshi kilimanjaro, sehem nyengine ambazo hatuna wawakilishi utalipia kwanza ndo tutakutumia mzigo wako, natanguliza shukrani
Mkuu siku si nyingi nitakutafuta nichukue mizigo.
Hivi LG nchi 50 ipo? na bei ngp?
Au Samsung nchi 50 bei ngp?
Pia sony home theater bei ngp?
Na frig pia ufafanuzi plz
 
Mkuu siku si nyingi nitakutafuta nichukue mizigo.
Hivi LG nchi 50 ipo? na bei ngp?
Au Samsung nchi 50 bei ngp?
Pia sony home theater bei ngp?
Na frig pia ufafanuzi plz
Lg zipo 49" 1.2m, samsung 50" 1.3m, sony hometheatre zipo dz 650 tunauza 650000, frigi hatuhusiki nazo
 
Hizi tv mkuu hua namuona tu jamaa flan hapa zanzibar anazishusha kwa wingi lakn once akizishusha tu hua anazipeleka dar, hauzii hapa, so sina uelewa nazo kabisa, na huku hamna mtu anauza hizi tv
Tanga unamtu unamtumia ili nikitaka nichukue kwake au una ofisi. Nitahitaji tr 3
 
Nimeona LG hapo 49" ila naona iko juu. Kwa bajeti ya 700 LG inch kuanzia 40 sipati?
 
Back
Top Bottom