Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Samsung plasma 43 inches used ila bado iko poaa.. 750,000.. ni mali yangu nauza.. 0713 799 522
 

Attachments

  • 1447350402448.jpg
    66.8 KB · Views: 641
  • 1447350425668.jpg
    53.3 KB · Views: 605
  • 1447350446531.jpg
    47 KB · Views: 581
Sale Sale
Plasma TV on sale, Used LG brand, 42"
Price 500,000
 

Attachments

  • 1448305575746.jpg
    28.1 KB · Views: 535
Natafuta tv mbili inch 32 sony au lg. Kwa mkopo wiki moja nakulipa hiyo pesa.hiyo inch bei gani plasma?
 
Jamani mwenye tv inch 32 flat tuwasiliane watsap no 0716316683
 
Mimi nina samsung 32 inches imeharibika kioo, mwenye kioo anipm tufanye biashara au mwenye kuhitaji kwa ajili ya spare pia itakuwa sawa,
 
Nahitaji tv aina ya Hitachi iwe inchi 24,mwenye kuwa nayo ani pm
 
Mwenye kuwa na tv inchi 24 aina ya Hitachi,ani pm
 
wakuu kwa sasa tuna wawakilishi wetu dar na tanga hivyo unaweza kupata tv yako bila ya waswas wowote walio maeneo hayo, karribuni mujinunulie flat screen kwa bei nafuu kabisa, lg, samsung, hisense, tcl nanyengunezo, contact 0718919725, 0777650286, tupo mtendeni zanzibar
 
Flat screen ya chini kabisa ni inch ngapi na tsh ngapi?
 
Led nchi 32 sh ngapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…