Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mkuu hukua na haja ata yakumjibu muache aendelee na kuwatahadharisha, mimi sijali nafanya kazi kama kawaida nawatu wakila kona ya nchi hii, sijawahi kumdhulumu mtu, yupo mtu humu nilimtumia tv musoma ikafika imevunjika kioo, niliingia gharama ya kumtumia tv nyengine bila hata kumwambia achangie senti, mwenyewe tu aliamua gharama ya usafiri atalipa yeye. Sasa kama nataka kumdhulum si ningemdhulumu huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…