Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kuna smart ya sumsung 1080p

IQ standard
Kubwa kuanzia 40" na kuendelea
20170729_101857.jpg
 
Mkuu pole kwa yaliyokukuta, lkn naomba nitofautiane na wewe katika hilo la kumuita Abdulwahid tapeli, mimi nipo bara mbali na Dar. Niliagiza mzigo wiki tatu zilizo pita na niliupata kama tulivyokubaliana, ukisema huyu ndugu ni tapeli inaniwia vigumu kukuelewa
Mkuu hukua na haja ata yakumjibu muache aendelee na kuwatahadharisha, mimi sijali nafanya kazi kama kawaida nawatu wakila kona ya nchi hii, sijawahi kumdhulumu mtu, yupo mtu humu nilimtumia tv musoma ikafika imevunjika kioo, niliingia gharama ya kumtumia tv nyengine bila hata kumwambia achangie senti, mwenyewe tu aliamua gharama ya usafiri atalipa yeye. Sasa kama nataka kumdhulum si ningemdhulumu huyu?
b624548bc85f5840bdd5546af5d1de52.jpg
ce674da3f7c86144273d5062c84fe8d0.jpg
 
Back
Top Bottom