Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

ni bei gani sasa,inch 20 flat?,pia kuna ndogo zaidi ya hapo flat?

nchi 20 ni 200000 hadi 180000 kwa used ambayo iko condotion nzuri, ama mpya zinakua adimu kidogo......ndogo zaid ya hapo zipo hadi nchi 15 na 14 ambazo ni 140000 hadi 110000
 
Geevox nch 19 laki mbili thelathin flat mpya Niko ngara.
 
Nina TV yangu Philips nahitaji laki 350000 tu nipo Dar es salaam kama una mtu Dar mwambie aje aione ajirizishe TV iko poa kabisa rangi ni Silva inch 32. Karibu sana
 

Attachments

  • 1445480121705.jpg
    1445480121705.jpg
    17.9 KB · Views: 1,134
Natafuta Motherboard ya TV LED LG 42" mwenye nayo please yangu imebuma.
 
Samsung led smart tv nch32 ....nahitaji bajeti 4
-4.5 laki..,....tutafutaneee
 
wakuu mi natafuta screen ya Sonny 32 inch flat.
 
Back
Top Bottom