Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Lg 49" smart 4k mkuu hotojuta katu1.5 M nataka smart Tv brand nzuri na ...mnanishauri brand gani ambayo ni nzuri kwa resolution na mengineyo?
Ni kwa dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lg 49" smart 4k mkuu hotojuta katu1.5 M nataka smart Tv brand nzuri na ...mnanishauri brand gani ambayo ni nzuri kwa resolution na mengineyo?
Ni kwa dar
Mkuu namba zetu zipo sana mbona rudia post za nyuma huko tumeweka sanaweken # zenu we ar in need ov!!!
PCz, externalz, Printers n.k zpooo bei=0.**
1.5 M nataka smart Tv brand nzuri na ...mnanishauri brand gani ambayo ni nzuri kwa resolution na mengineyo?
Ni kwa dar
Samsung wa size ngapi kutoka 32"Samsung smart 32"
Price: 600000View attachment 378566
LG 43" , Samsung 40" Na hisence 40" beo ganiThanks Wazunguray hiyo Tv ishauzwa mkuu ila mtu akitaka Tv naweza kuagiza unalipa ikifika sumsung, Lg, hisence na Sony inch yoyote au Radio hata washing machine kutoka South Africa..
Mkuu sijakusoma apoSamsung wa size ngapi kutoka 32"
Na bei zake please.
Samsung smart tv ipo ya 36" au 39"Mkuu sijakusoma apo
Mkuu size hizo hatuna, baada ya 32 ni 40"Samsung smart tv ipo ya 36" au 39"
Ni bei gani?
Mkuu hyo ni bei gani?
Naweza pata picha ya iyo motherboard yakoNatafuta Motherboard ya TV LED LG 42" mwenye nayo please yangu imebuma.
Ipo singsung mkuu. Njoo ukague nipi tabata 0764870930Nahitaji lcd used yoyote ile iwe tcl,singsung,sony,lg,sumsung, nk iwe inchi 22 na kuendelea nna laki 2 pia nataka king'amuzi nna elfu 20.
Asante sana nitakutafuta muda sio mrefu
Mkuu nipm ili nikuuzie ipo flat nchi 24 Brand New njoo dukani kwangu tuyajengemimi nahitaji flat screen TV.
nzuri ambayo ni HD za sifa nyingine
nina 300,000/=
Mkuu hiyo flat 24"ni model gani, na ww unapatikana wapi ili tuyajengeMkuu nipm ili nikuuzie ipo flat nchi 24 Brand New njoo dukani kwangu tuyajenge
beiIris Air Plus smart television. 49inches.(Super slim) 0652045272 check me whatsapp for photos