Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

1.5 M nataka smart Tv brand nzuri na ...mnanishauri brand gani ambayo ni nzuri kwa resolution na mengineyo?
Ni kwa dar
1470793645936.jpg
1470793677335.jpg
1470793699306.jpg

Hiyo mkuu utainjoy sana tu
 
Thanks Wazunguray hiyo Tv ishauzwa mkuu ila mtu akitaka Tv naweza kuagiza unalipa ikifika sumsung, Lg, hisence na Sony inch yoyote au Radio hata washing machine kutoka South Africa..
LG 43" , Samsung 40" Na hisence 40" beo gani
 
Mm nanunua LED TV mbovu ambazo haziwaki ili mladi kioo kiwe kizima napatikana dar 0764870930
 
Nahitaji lcd used yoyote ile iwe tcl,singsung,sony,lg,sumsung, nk iwe inchi 22 na kuendelea nna laki 2 pia nataka king'amuzi nna elfu 20.
Ipo singsung mkuu. Njoo ukague nipi tabata 0764870930
 
mimi nahitaji flat screen TV.
nzuri ambayo ni HD za sifa nyingine
nina 300,000/=
Mkuu nipm ili nikuuzie ipo flat nchi 24 Brand New njoo dukani kwangu tuyajenge
 
Waungwana LG 42ich imekufa kioo mwenye nacho hma naiuza kama ilivyo 450. njoo PM kitu kipo KG Dsm
 
Back
Top Bottom