Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Abdulwahid ebu niambie mkuu je unawakala MWANZA? Nataka TV mkuu sijui utani saidi aje
 
Abdulwahid ebu niambie mkuu je unawakala MWANZA? Nataka TV mkuu sijui utani saidi aje
Kwa mwanza Sina wakala Bali yupo kakangu ambaye uwa namtumia kwenye basi la nyeunge anapokea then ndo anawapelekea wateja wangu na hivi Leo natuma LG inch 32 Kuna mteja anampelekea
 
Abdulwahid ebu niambie mkuu je unawakala MWANZA? Nataka TV mkuu sijui utani saidi aje
Mkuu sina wakala lakini naweza kukutumia hadi nyumbani kwako kwa njia ya ems, jana nimemtumia mwenzako hukohuko mwanza, na kesho namtumia mwengine inshaallah, ukitaka ushahidi naweza kukutumia hata risiti za posta
 
wakuu kwa sasa tuna wawakilishi wetu dar na tanga hivyo unaweza kupata tv yako bila ya waswas wowote walio maeneo hayo, karribuni mujinunulie flat screen kwa bei nafuu kabisa, lg, samsung, hisense, tcl nanyengunezo, contact 0718919725, 0777650286, tupo mtendeni zanzibar
Hometheatre used but in good condition iwevat least ya 2013 unayo ya 200k budget?!
 
Mimi Nina bajeti ya 450000 ntapata tv can mpya iwe nchi 32
 
Mkuu Abdul wahid na wauazaji wote wa TV,

natoa mapendekezo, either muanzishe uzi mwingine ambao mtakuwa mnaweka picha za tv ,ikionyesha aina, ukubwa wake na ubora wake na bei zake kwa wakati huo mnavyoziuza, ili sisi wanunuaji/wahitaji tupitie tuone kwa maelezo hayo mliyotuwekea je tunaweza kununua kutoka kwenu, Na muonyeshe vipi mtafikisha kwa wateja walio mbali pia.

au kama ni hii hii muuzaji aonyeshe product zake zote na bei, itasaidia

ushauri tu for easy follow-up
 
Mkuu wazo lako zuri lakini modi si watauunganisha na uzi huu? Mi nazani tungefanya hayo kwenye uzi huu huu
 
Tcl 40" smart tv
Price: 650000
1474452383912.jpg
1474452392391.jpg
 
Nikitaka star X mpaka MWANZA nchi 32 pamoja na usafiri itanigarimu bei gan mkuu Abdul
 
Nimekusoma mkuu wangu next week ni week ya mshahara tutafanya biashara mkuu
 
Back
Top Bottom