Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
mkuu napatikana dsm...! Vp una hio samsung smart 32 inch ..tufanye biashara...nina laki5 cashUnapatikana wapi mkuu nicheck PM!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu napatikana dsm...! Vp una hio samsung smart 32 inch ..tufanye biashara...nina laki5 cashUnapatikana wapi mkuu nicheck PM!
mkuu nimekupim hebu cheki napm yangu plzzMkuu laki 5 haina maslahi
Ninayo Samsung inch 32 series 4 kwa sh 600000 nitakupamkuu napatikana dsm...! Vp una hio samsung smart 32 inch ..tufanye biashara...nina laki5 cash
Boss fanya 500000 ndo ninayo hiyooNinayo Samsung inch 32 series 4 kwa sh 600000 nitakupa
Hiyo bei hata manunuzi ninayonunulia bado mkuu maana wenzangu wanauza mpk 700000Boss fanya 500000 ndo ninayo hiyoo
Kwa mwanza Sina wakala Bali yupo kakangu ambaye uwa namtumia kwenye basi la nyeunge anapokea then ndo anawapelekea wateja wangu na hivi Leo natuma LG inch 32 Kuna mteja anampelekeaAbdulwahid ebu niambie mkuu je unawakala MWANZA? Nataka TV mkuu sijui utani saidi aje
Mkuu sina wakala lakini naweza kukutumia hadi nyumbani kwako kwa njia ya ems, jana nimemtumia mwenzako hukohuko mwanza, na kesho namtumia mwengine inshaallah, ukitaka ushahidi naweza kukutumia hata risiti za postaAbdulwahid ebu niambie mkuu je unawakala MWANZA? Nataka TV mkuu sijui utani saidi aje
Hometheatre used but in good condition iwevat least ya 2013 unayo ya 200k budget?!wakuu kwa sasa tuna wawakilishi wetu dar na tanga hivyo unaweza kupata tv yako bila ya waswas wowote walio maeneo hayo, karribuni mujinunulie flat screen kwa bei nafuu kabisa, lg, samsung, hisense, tcl nanyengunezo, contact 0718919725, 0777650286, tupo mtendeni zanzibar
Mkuu used sinaHometheatre used but in good condition iwevat least ya 2013 unayo ya 200k budget?!
Tcl smart kwa 450000, star x led kwa 350000Mimi Nina bajeti ya 450000 ntapata tv can mpya iwe nchi 32
Ok mpya za kuaminika na watt ngap kwa range ya 250-300k?Mkuu used sina
Mkuu angalia post [HASHTAG]#514[/HASHTAG] bei ni 300000Ok mpya za kuaminika na watt ngap kwa range ya 250-300k?
Mkuu Abdul wahid na wauazaji wote wa TV,
Mkuu wazo lako zuri lakini modi si watauunganisha na uzi huu? Mi nazani tungefanya hayo kwenye uzi huu huuMkuu Abdul wahid na wauazaji wote wa TV,
natoa mapendekezo, either muanzishe uzi mwingine ambao mtakuwa mnaweka picha za tv ,ikionyesha aina, ukubwa wake na ubora wake na bei zake kwa wakati huo mnavyoziuza, ili sisi wanunuaji/wahitaji tupitie tuone kwa maelezo hayo mliyotuwekea je tunaweza kununua kutoka kwenu, Na muonyeshe vipi mtafikisha kwa wateja walio mbali pia.
au kama ni hii hii muuzaji aonyeshe product zake zote na bei, itasaidia
ushauri tu for easy follow-up
380000 tu mkuuNikitaka star X mpaka MWANZA nchi 32 pamoja na usafiri itanigarimu bei gan mkuu Abdul