Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

shilingi ngapi!?
110000
1483801748283.jpg
 
Abdulwahid niko meatu mpaka huku tsh ngapi!?
naomba specifications za hii gadget!
brand name,na vinginevyo!
 
Abdulwahid niko meatu mpaka huku tsh ngapi!?
naomba specifications za hii gadget!
brand name,na vinginevyo!
Bei hiyo hiyo itakufika mpaka huko meatu, brand hii ni technica, ina suport flsh, haichagui cd, ina kioo chake inchi 9, unapewa na headphone na car charger
 
Jamaan natafta mwenye king'amuz cha azam tv used anaeuza nahtaji plz
 
Abdulwahid unaifanya biashara ya mtandao kuwa nyepesi sana hapa bongo, natamani wote wangekuwa kama wewe aisee. big up man, Tuendelee fanya kazi.
 
Wakuu nawashukuru sana kwa kuleta ushuhuda, ukweli wapo wengi nimefanya nao biashara humu sema wengi hawapendi kuleta mrejesho baada ya kupokea mizigo yao, hata hivo nawashukuru nyote kwa kutuamini kufanikisha bishara hii
naomba kujua bei ya star x...50 or 55 inches, na tcl 50 inches
 
Back
Top Bottom