Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Inapita custom inakadiriwa Kodi sema sio Kali unapata risit ya Kodi basi njia nzima usumbufu hakuna bila hyo karatasi ya Kodi mzee inaeza kula kwako au uwapate wale magwiji na hapo utasafirishiwa mpaka Arusha tuu Sasa kuitoa hapo mpaka kwako ukikutana na hawa ndugu zetu huna karatasi unaambiwa umeiba Sasa inshu ndo hapo
Mkuu uliichua kwa bei ipi tafadhali
 
Mwaminifu sana
Naomba nilete mrejesho wangu pia, nimefanya biashara na bwana Abdulwahid , jamaa ni muaminifu kupita maelezo. Hana longolongo. Nilimcheki, nikamuuliza bei ya TV niliyoitaka, akaniambia bei. Nikamwambia anipe account namba ya benki nikatia mpunga kwenye account yake then nikamtumia pay slip.
Mzigo ulifika mkoani salama salmini kabisa.
The guy is EFFICIENT, EFFECTIVE & TRUSTWORTHY. Pia, customer care yake ni ya viwango vya SGR.
I highly recommend him.
 
shukran sana kiongoz
 
Ulichelewa kumjua pole umekosa mengi ila kuanzia apo epuka kale ka msemo ,SOME PROBLEM ARE SELF IMPOSED.NIKIMAANISHA USIJE THUBUTU KUTAFUTA MTU MWINGINE USIYEJUA UAMINIFU WAKE UKOJE UKAJUTA .RASHID NI MTU NA NUSU.
 
Naweza kupata TV inchi 32 nikiwa na budget ya 400,000/=? Nilikuwa na Star X. Imepasuka kioo sitaki kuhangaika kutengeneza.
 
Mwanza,star x,inchi 55,imetumika kidogo,bei laki 9,namba 0759589005
16327416715214233862078931442352.jpg
 
Back
Top Bottom