Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hisense smart 43 inch.
Tsh 850,000
Dar es salaam unaletewa free
0755 655516
IMG_20211001_084309.jpg
 
zingine hizi hapa leo,Tandar 22 inches,inatumia solar power na umeme wa kawaida,

wasiliana nami:0747175984
IMG_20211002_162006.jpg
IMG_20211002_161837.jpg
IMG_20211002_161748.jpg
IMG_20211002_161833.jpg
 
Naomba nilete mrejesho wangu pia, nimefanya biashara na bwana Abdulwahid , jamaa ni muaminifu kupita maelezo. Hana longolongo. Nilimcheki, nikamuuliza bei ya TV niliyoitaka, akaniambia bei. Nikamwambia anipe account namba ya benki nikatia mpunga kwenye account yake then nikamtumia pay slip.
Mzigo ulifika mkoani salama salmini kabisa.
The guy is EFFICIENT, EFFECTIVE & TRUSTWORTHY. Pia, customer care yake ni ya viwango vya SGR.
I highly recommend him.
Mimi ameniuzia tv 4 tena za zaidi ya tshs 1.5 each
 
Natafuta flat screenTv 55 inches used(LG,TCL)pia kampuni nyingine waweza niambia kama ipo,bei tutaelewana tu nipo MBEYA,mawasiliano:0747175984
 
Nahitaji inchi 40/mpaka 43
Iwe samsung, Lg, sony, TCL Niko kahama
 
Back
Top Bottom