Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nauza tv Hisense inch 58 smart, Ina miezi minne ni mpya kabisa..

Doc zote zipo, risiti na warranty zipo mpaka box

Loc: morogoro
Price: laki 9
 
Panapo majaliwa kesho nitaanza tv kutoka kwa ndugu [red]Abdulwahid[red] wa Zanzibar
 
Kweli kabisa.. Nililipa hela muda wa saa tano asubuhi , jioni nimepata mzigo wangu . Sikwenda kuufata bandarini, bali nimeunganishwa na mtu akaniletea hadi nyumbani. Excellent work.
Namwamini sana huyo jamaa japo siifahamu hata sura yake.

Wiki jana alinitumia parcel nikaipokea posta ikiwa salama kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sony hometheater
watts 1000
Dav dz650
Iko ilala karume
550,000
0713799522
IMG-20220208-WA0005.jpg
IMG-20220208-WA0002.jpg
 
LG LED TV INCH 43 USED
NAKULETEA MPAKA ULIPO
KWA GHARAMA YA TSH 490,000 TU
MZIGO NI FULL HD 1080
INA USB, HDMI, AV, OPTICAL AUDIO
NICHEK 0744680670
NA UKUTANI NAKUFUNGIA BUREE
WARRANTY MIEZI 6
Polish_20220217_225933656.jpg
Polish_20220217_230127100.jpg
 
Wakuu salama? Naomba kujuzwa utaratibu wa kutoa tv Zanzibar hadi mkoani bara huku, nmenunua kwa mshkaji sasa sijajua utaratibu wa kuitoa kule kuja uku, natanguliza shukran zangu
 
Back
Top Bottom