Number ni 26
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,573
- 3,088
Siwezi kupata inch 32 kwa 150k mkuu?Ailyons inch 32 framless sh 220,000/=
Call/WhatsApp 0713520180
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kupata inch 32 kwa 150k mkuu?Ailyons inch 32 framless sh 220,000/=
Call/WhatsApp 0713520180
Huwezi pata labda za crossSiwezi kupata inch 32 kwa 150k mkuu?
Hiyo Hisense smart 43" resolution yake ipo vipi?Hisense brand new
New price
Hisense smart 43" 570000
Hisense smart 4k 43" 620000
Hisense smart 4k 50" 800000
Hisense smart 4k 55" 950000
Hisense smart 4k 58" 1030000
Hisense smart 4k 65" 1450000
Hisense smart 4k 70" 1800000
Hisense smart 4k 75" 2300000
Tupo Mtendeni Zanzibar, na popote ulipo tutakufikia kwa gharama nafuu kabisa
Karibuni waungwana
0777650286View attachment 2575771View attachment 2575772
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
ukisema cross unamaanisha nini??Huwezi pata labda za cross
upo wapNina Hisense inch 32 smart Tv nataka kuiuza nakupa na box lake. 300k bila chenchi njoo pm kama uko interested
Ooh Niko Dar es salaam mkuu.upo wap
TCL na Hisense, ipi nzuri zaidi?Ailyons inch 32 framless sh 220,000/=
Call/WhatsApp 0713520180
HisenseTCL na Hisense, ipi nzuri zaidi?
aaaah ok mie nipo moro mkuuOoh Niko Dar es salaam mkuu.
Tunaweza fanya nikakutumia mkuu au kama una mwakilishi huku akakukagulia mali nikakutumia. Moro town hapo au?aaaah ok mie nipo moro mkuu
aaaah yap townTunaweza fanya nikakutumia mkuu au kama una mwakilishi huku akakukagulia mali nikakutumia. Moro town hapo au?
Hapo ni karibu mkuu na i can assure you mali iko poa haina shida yeyote. Ina you tube Netflix na ma site mengine kama una internet na mpenzi wa muvi uta enjoy. Kama uko serious tuone namna ya kufanya uipate.aaaah yap town
poa poaHapo ni karibu mkuu na i can assure you mali iko poa haina shida yeyote. Ina you tube Netflix na ma site mengine kama una internet na mpenzi wa muvi uta enjoy. Kama uko serious tuone namna ya kufanya uipate.
Hata mimi yangu laki 3 jamani ipo safi kabisa, sikuwa na matumizi nayo mara kwa maraNina Hisense inch 32 smart Tv nataka kuiuza nakupa na box lake. 300k bila chenchi njoo pm kama uko interested
Kwann unaiuza shida nnHata mimi yangu laki 3 jamani ipo safi kabisa, sikuwa na matumizi nayo mara kwa mara
Chukua 250 nipo mbez mwishoHata mimi yangu laki 3 jamani ipo safi kabisa, sikuwa na matumizi nayo mara kwa mara
4k tv uhd series 7SAMSUNG SMART TV INCH 50
IKO SAFI KABISA
750,000
0713799522View attachment 2625056View attachment 2625057