Ni kweli na wamefungia vyombo vya nje kama aljazeera kurusha live coveragevyombo vipi hivyo?
Anamiliki anga wakati jioni hii F35 imeangushwa?Israeli fighter jets have been seen armed with inexpensive glide bombs. Air superiority means it doesn't need to expend costly stand-off missiles.
Baada ya Israel kumiliki anga la Iran,sasa hivi wameanza kutumia mabomu ya bei rahisi ambayo sio expensive kama guided missile yanayofyatuliwa kutoka mbali.
Kuna sabab why aljazeera ilifungiwa aljazeera alyways huegemea upande wa Iran na proxies wake so lazima ifungiwe.Ni kweli na wamefungia vyombo vya nje kama aljazeera kurusha live coverage
ahahahMi nalala mnisimulie asubuhi