SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ila mkongwe unaamini Iran ataweza kuhimili vishindo vya mashambulizi ya Israel na USA kwa pamoja!?
US ana kitu gani?
US hii vita anategemea kambi zake za mashariki ya kati, na hizo kambi zote zipo kwenye target makombora ya Iran yanafika, US akiingia ujue Russia na China wanatia timu..

Kumbuka hao allies, mmoja anapoanguka nguvu yao kwa pamoja inashuka.. ndio maana tumeona Iran ikimpa Russia drones ambazo zilibadili vita ya UKraine..

US ataendelea kukaa nyuma, akiingia basi kambi zake zitapigwa zote kwa wakati mmoja na kusambaa... ni kitu ambacho US hatopeda..
 
Hii ishakuwa noma!
 
Nakupata vyema sana mkongwe, ila naona kama China ni waoga sana wa vita labda North Korea sawa, kuhusu Russia...nahisi kisanga chake cha Ukraine kitamfanya ashindwe kushirikiana na Iran kwa ufanisi.
 
Kama unakaa sehemu umeme wa buku buku tuma namba ya luku tukuwekee wa 10,000 na wewe uone al jazeera wapo live kila kitu kinaonekana

Kilichokuwa kinatokea jana na leo ni vitu viwili tofauti
Acha upuuzi wewe , Alajjazeera tangu lini wanareport ndani ya Israel wewe Kenge ? ,hayo mashoga yenu mnayoyaabudu si yaliripua studio za Alajjazeera na kuwafukuza reporters wote na kuharibu kituo na mitambo ya kurushia matangazo ?
Alajjazeera wanareport wakiwa Jordan
 
Nakupata vyema sana mkongwe, ila naona kama China ni waoga sana wa vita labda North Korea sawa, kuhusu Russia...nahisi kisanga chake cha Ukraine kitamfanya ashindwe kushirikiana na Iran kwa ufanisi.
Russia itaingia kati, Russia si nchi dhaifu na haijatumia resources zake zote kupambana na Ukraine..
China hataingia direct lakini atatoa msaada..
Lakini mambo yakionekana kuchanganya na interests zake kuingiliwa, lazima atie timu, kumbuka China ni mteja mkubwa sana wa mafuta na gas wa Iran..
 
Netanyahu mthenge sana!
Sijui anataka kutupeleka wapi huyu mbwa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…