City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
So kweliWame piga milango tu
Mda huohuo Israel hataki kusaini mkataba wa amani wa silaha za nyukliaNetanyahu anasema Israel hawatakubali kuwaacha utawala wa ayatollah Khamenei kumiliki silaha za hatari
View attachment 3374567
amka usije ukajinyeaNimeamini media za Ulaya zikikusifia zinakupumbaza kijanja, Iran ilikuwa inawekwa kama dubwana kubwa bonge la jambazi, kumbe wanajua ana uwezo mdogo, na viongozi wa Iran wanalala wanaridhika na Sifa.
Ni aibu mtu kila siku anatoka km 1500 kuja kukupiga bila makombora ya masafa marefu
Ngoja tusubiriMda huohuo Israel hataki kusaini mkataba wa amani wa silaha za nyuklia
Hata hivyo Iran wamejitahidi sana, fikiria tu kwa nchi ambayo imepigwa vikwazo miaka mingi lakini imefanikiwa kutengeneza silaha zake wenyewe na kushindana na mataifa makubwa. Unafikiri nani mwingine angeweza?Nimeamini media za Ulaya zikikusifia zinakupumbaza kijanja, Iran ilikuwa inawekwa kama dubwana kubwa bonge la jambazi, kumbe wanajua ana uwezo mdogo, na viongozi wa Iran wanalala wanaridhika na Sifa.
Ni aibu mtu kila siku anatoka km 1500 kuja kukupiga bila makombora ya masafa marefu
Bado anapumua huyu,endelea kupiga kichwa tuuwayahudi wanapiga kichwani tu kwani ndio tulivyokubaliana?
Kwani Marekani hatanufaika au hujui kuwa Marekani ndio muuzaji wa kwanza wa mafuta mengi Duniani?Sasa hivi pipa la mafuta dola 70, Trump akijichanganya kitafika 400,tutalia njaa na urusi atanufaika sana, ndiyo maana urusi anapiga tafu kinyemela Iran
IDF said an Israeli drone was shot down inside Iran during airstrikes aimed at disabling Tehran’s air defenses. The drone fell after being hit by a surface-to-air missile—no injuries, no intel leak.
Ukisema wakristo useme ni wakristo gani, mostly ni protestant na hawa wetu wa ki Africa, wengi humu hawana access za media za kiarabu ama kuelewa kiarabu ila mostly Wakristo wa Orthodox kuanzia nchi za Kiarabu, Urusi, na East Europe kwengine wapo Against Israel sababu wao ndio Wanaouliwa.Ni Kweli sio ya kidini. Lakini amini usiamini all Musilims wapo na Iran. Na wale wakristu wapo na Mazayuni. Huo ndio ukweli.
All Muslim wapo na Iran?? Sijui kama unaelewa maana ya All. Ungesema mostly na sio AllUkisema wakristo useme ni wakristo gani, mostly ni protestant na hawa wetu wa ki Africa, wengi humu hawana access za media za kiarabu ama kuelewa kiarabu ila mostly Wakristo wa Orthodox kuanzia nchi za Kiarabu, Urusi, na East Europe kwengine wapo Against Israel sababu wao ndio Wanaouliwa.
Hizi video za comedy unazoziona online Kudhihaki Israel wakipigwa na Makombora nyingi zinatoka kwa hao wakristo,
Habibi karibu Lebanon.
View attachment 3374669
View attachment 3374670
View attachment 3374673
Hapo bado kuna ile ya Tarumbeta ambayo wengi wame share humu.
Mkristo wa Palestina ama Lebanon hawezi ku buy bias ya kwamba kina Netanyahu ni israelite sababu wao wenyewe wanajijua ni Israelite.
Support ya maneno,muulize kinachompata huko SyriaRaisi wa Turkey anasema Netanyahu ni zaidi ya Hitler, hawatakaa kimya kuhusu yeye
Iran sasa wamepata support ya Uturuki