SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Maseneta wamemgomea kutoa hela au kuingilia,maga imegawabyika,misemo ya impeachment inasikika, trump kaamua kujikosha
 
Kwa hiyo kwako wewe Japan na Germany ni mfano bora Iran kuwa hivyo ?
 
Wayahudi ya jf wanadai Iran imezidiwa lakini wakati huo wayahudi halisi huko Israel wanadhibiti taarifa juu ya mashambulizi yanayo fanywa na Iran.
Eti wao wanataka Iran irushe mamimia ya makombora ndo waridhike sasa sijui Iran ina ulazima gani wa kurusha makombora mengi wakati hata akirusha machache yanapenya na kupiga lengo.
Hata vita ya Ukraine na Russia kipindi ina anza propaganda zilikuwa nyingi kama hizi lakini mwisho wa siku muda uliamuwa
 
Dah huyu Mossad agent anakimbia balaa pikipiki inafuata nyuma asee...
Mossad agent amekamatwa akiwa na milipuko kwenye truck...
Mossad wanaidi kukamatwa kama panya, Ian sasa kuna safisha safisha ndani, sio wapo kimya...
Ndio maana US na Israel wanatoa taarifa watu wa Tehran wahame, hii ni kuwapanjia Mossad agent wajichanganye na raia na kupotea Tehran, lakini msako mkali unaendelea...


Your browser is not able to display this video.
 
About 1,000 drones have been launched from Iran since the beginning of the campaign, 200 have reached the borders, all of which were successfully intercepted.

Kuna maelezo ya watalaam fulani nilitamani kushare hapa lakini sina utalaam huo.

Jamaa wanasema siku ya Kwanza Iran walirusha 300 barrage, wanasema ule ulikuwa uchafu wa makombora ya zamani kuzioverwhelm ADS za Israeli then baada ya hapo walizileta ballistics kadhaa kuhit targets in mix na huo uchafu.

Ukiona huo uchafu wa drones 1000 maana yake utaintercept kwa gharama kubwa Kwa kutumia ADS halafu unaletewa ballistics au hypersonic chache kupiga target na kuleta damage.
 
Eti Israel katulizwa!!! Wakati jioni hii Tehran wamejifungia mapema sana ndani baada ya makamanda wao kuuliza!!!
 

Attachments

  • IMG_3359.jpeg
    31.5 KB · Views: 13
  • IMG_3349.jpeg
    130.5 KB · Views: 16
  • telegram-cloud-document-4-5949696467185703324.mp4
    1.1 MB
  • telegram-cloud-document-4-5949696467185703323.mp4
    4.4 MB
Ila Israel ina propaganda za kijinga sana ebu fikiria kiwango cha uharibifu kilicho sababishwa na mashambulizi ya Iran kwenye miji ya Israel lakini una ambiwa walio kufa ni 25.
 
Tukumbuke kamba Israel sasa ipo katika wakati mgumu zaidi katika historia yake ya vita mashariki ya kati..
Wanaongea midomoni lakini moyoni wanaelewa nini kinaendelea..
Israel inapambana sasa kwa kutumia nguvu zake na resources zake zote.. Israel inapambana ku survive...
Hypersonic za Iran sio tu wananchi wanaziogopa, hata viongoi wa juu wa kijeshi...

Ukiona Trump anajitokeza kila mara ''Iran imezidiwa', unasikia 'tunafahamu Ayatollah alipo', unasikia 'Iran anaomba mazungumzo'...

Hii ina maana hali si nzuri kwa Israel..

Israel ipo shocked, ni kama hadi sasa hawajui hatma yao, ukishaona wananchi wanataka kukimbia nchi ujue hali imefikia pabaya, haikuwahi kutokea katika vita vya Israel wananchi wanataka kukimbia nchi kwa wingi kama sasa, sio kuhama nchi, kukimbia nchi... kwa aibu Netanyahu na serikali yake wanawazuia... wakati yeye alikimbilia Greece..
 
Ayatollah Khamenei:'War is met with war, bombing with bombing, and strike with strike''Iran will vigorously resist the imposed war and the imposed peace''Those familiar with Iran's history know that we never surrender''Our people will not submit to any dictates from any party whatsoever'
 
Ila Israel ina propaganda za kijinga sana ebu fikiria kiwango cha uharibifu kilicho sababishwa na mashambulizi ya Iran kwenye miji ya Israel lakini una ambiwa walio kufa ni 25.
Media kubwa zote zipo upande wa Israel, siku ya kwanza tulipata uhalisia wa kipi kinaendelea Tel Aviv, sasa hivi wanatumi nguvu na kukamata wananchi wanao sadikika ku record... Israel inatambua IDF morale itashuka chini.. lakini kiukweli Israel inapigwa sio poa, ni huruma na wanajikaza kuonyesha mapambano yanaendelea..

Huu usiku vyuma vinalia, kibaya, dunia ina muunga mkono Iran.. hata muamko wa nchi za EU ni mdogo sasa..

Ukitaka kugundua Israel imezidiwa ni Netanyahu kila muda kuiomba US iingilie kati.. US kutoa support kwa kujificha haijaosha sasa inabidi ajidhihirishe moja kwa moja..

Hii vita ipo katika state mbaya..

Halafu kitu kibaya zaidi kwa Trump, ni rais asiyejua chochote kuhusu vita, haelewi mahesabu ya vita.. kama hii vita wamedanganyana na Netanyahu... wamarekani na maseneta hawaungi mkono..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…