SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sema vyombo vya habari navyo vinakosea sana kutoka taarifa.
Utakuta vinaeleza kuwa
-Terhan inawaka moto muda.
-Au haifa inawaka moto.
😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣
Mara nyingi ukiona taarifa ipo hivyo usifungue.
 
Shukrani kwa ujio wako humu jukwaani Senior wa Geopolitics.
Nimekufuatilia tangu unaongelea moja wapo ya sababu kubwa ya chanzo cha mzozo kuu kuwa ni geographical location ya Iran ikiwa kama njia kuu kiunganishi cha europe, mideast, east asia na far east.

Lakini kiu yangu ni moja tu kutaka kujua UK, US na NATO wanawajibikaje kwenye usalama na uwepo Israel iliyojengwa kama shukrani miaka michache tu iliyopita?
Je, kuna ukweli wowote kuwa Israel ni USA/NATO katika namna ya kutupumbaza na amewekwa pale kimkakati ili apate uhalali wa kuichokonoa middle east na kumiliki maliasili za ukanda huo?

Na kwa kukariri mchango wako kwenye uzi wa kwanini rusia iliyochoka inamsumbua superpower nato ulielezea HEARTLAND THEORY kwamba Rusia ni tajiri sana kwa natural resources ndio maana nato anapambana kuikandamizi ili isijekuamka, vipi kuhusu utajiri wa irani ukilinganisha na ule wa rusia na uelekeo wa imperialists kuiminya china kupitia iran?
 
Raia well educated huwezi waingiza mtaani, yaani uwavurugie nchi yao kana kwamba hawakuona afghanistan, Iraq na Libya!!
Iran wapo watu hawapendi utawala wa kislamu , coz ya sera zao.
Mwaka Jana watu 30 walinyongwa kwa sababu ya hizo kesi.

Sasa kama " Kuna mwanamke alibakwa na wanaume 5 iran, akaenda kushitaki apate Haki yake, kilichompata alifungwa jela kisa kazini, ishu ya kubakwa wakaitupilia mbali".

Vile vile hata Israel hawapendi msimamo mkali ya kiyahundi wa sasa, wapo ambao wanapenda amani na Palestina pamoja na Arabs countries,
Na wanawapinga pale pale Israel.
 
El Maestro!!!
Asante kwa uchambuzi ulionyooka!
Mods, weka hili bandiko/huu mchango wa Lumumba pale juu kabisa.

Refiner
 
Your genius mkuu...
We jamaa ilibidi uwe al Jazeera hukooo
 
Acha kuhara wewe
 
Hoja ni wanaodai yupo neutral,mimi siwezi leta habari Iran anachakazwa sababu ntakuta washaniwshi kupost, maana habari hiyo utaiona main stream media zote, social media zote ndani ya dakika tu
Huwez kua neutral 💯 perc maana nae kuna upande anapenda inavyo peleka Moto lakini at least mwamba anatoa update kwa wakati haina aja saana kuingia twitter na Telegram

But nina uhakika Wewe huwez Ku post kipigo anacho pata Iran kwa sabb ya upande ulio chagua

Lakn unaweza kuweka Tu ata Kama mainstream media washa weka hio inakua faida kwa wengine ambao hawana access twitter na ma group ya Telegram Weka tu mbona kuna comment nilio apo nyuma umememwambia yupo slow nazani hio habari usha isoma telegram au twitter
 
Mi mkosoaji tu siyo ripota,mtu anipe link za telegram za wanaopost ukweli wa vita, maana threads akaunti za hivyo zinafutwa sana
 
Kwanza mbona wanalalamika nani kamuajiri, kama TFF tu wana upande hata mwanzilishi wa huu uzi mwenyewe ni pro Iran aliyekubuhu, vipi yeye muacheni bhan all in all anajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…