SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Si Bush Wala family yake waliwai miliki Barick ila Bush aliwai kuwa Mshauri tu wa Barick.
Nb:,wewe nifafanulie,kwanini Magharibi wanauchu sana na Rasilimali za Mataifa yenye nguvu kijeshi kuliko Rasilimali za Mataifa dhaifu kijeshi?.
Kuna nchi nyingi tu zina Rasilimali na hazipati bughadha toka Magharibi
 
Acha kuhara wewe
😂😂😂
Nimecheka kwa sauti daa
Hapo ndipo waga unanifurahisha si hoja ina pingwa Kwa hoja

Je sio fact kwamba kuna watu wananyongwa kwa kutotii misingi ya dini furahi??? Je watu Wana Uhuru wa kuabudu wanacho taka?? Je watu wapo huru kutoka kwenye uislam na kua dini nyingine na maisha yakaendelea??

Mjibu mwamba Kwa fact sio kwa kejeri
 

View: https://youtu.be/86Nrv5izaTs
Maneno ya Raisi wa Marekani, Joe Biden kuhusu Israel.
​
 
Naona leo makafiri wamelevel mzani baada ya jana kuugulia maumivu makali,narudia hii vita ipo miaka mingi mbele,kupigwa na kupiga vitatawala sana hivyo msijilipue sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…