SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ayatollah: Call up Hezbollah!
IRGC Gen: They hung up
Ayatollah: Call up Hamas!
IRGC Gen: They are dead
Ayatollah: Launch the missiles!
IRGC Gen: We are out
Ayatollah: Sobbing...
 
Kwahyo hilo zoezi wamefanya marekani na israel na sio Iran kama wanavyosema wao ?
 
Boss unahisi vinu vya Nyuklia ni magunia ya mchele kwamba wanabeba mgongoni na kuondoa hatari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…