SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mashambulizi haya ni ishara ya kuongezeka kwa mzozo wa hatari unaohatarisha maisha ya maelfu ya raia wasio na hatia. Badala ya kusuluhisha tofauti kupitia njia za kidiplomasia, hatua hizi za kijeshi zinachochea maafa, uharibifu mkubwa na kuzorotesha amani ya kikanda na duniani. Kauli kali kama za Pakistan kuhusu silaha za nyuklia zinapaswa kulaaniwa vikali kwani zinahatarisha usalama wa dunia nzima. Uongozi wa busara unahitajika sasa kuliko wakati mwingine wowote.
 
Video ikionesha kituo cha usambazaji umeme kikipigwa, Ashdod Power plant
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Mimi huwa nawashngaa sana hawa wanaoshabikia haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…