SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Makombora ya Iran yalivyopiga sehemu ya eneo la viwanda Ahsdod asubuhi ya leo
20250623_120432.jpg
 
Saudi Arabia walienda si kwa ajiri ya USA kwa manufaa Yao wenyewe.
Kumbuka Saudi wana mgogoro na iran.
Shia na shuni.
Shida Yao ndo hio.
Walienda kwa manufaa Yao wenyewe.
Zile vita walikufa watu zaidi ya 500,000 Yemen.
Wa youth, Saudi waliona ni tishio kwao. Coz wale ni shia na iran inawasapoti.
Ndio Maana Saudi Arabia ikaungana na USA.
 
Wasiwasi wangu ni wa moja kwa moja makombora ya Iran yanaweza yakaichakaza Israel na marekani akatuma kombora baya moja tu kwa Tehran
 
Wasiwasi wangu ni wa moja kwa moja makombora ya Iran yanaweza yakaichakaza Israel na marekani akatuma kombora baya moja tu kwa Tehran
Sidhani kama hilo laweza kutokea kwa karne hii.....marekani wanajua madhara ya kutumia hayo mabomu na iliwagharimu sana kuijenga upya nagasaki na hiroshima pia ilitumia gharama kubwa kuwafanya raia wa japan wasiwe na kinyongo nao
 
Back
Top Bottom