Ni zaidi ya kp kipanya44 kwenye ule uzi wa russia na ukraine. City Thunder OKC kwa kauli yake aliniambia anapenda vita. Ila ule ushetani mazatuni wanaowafanyia wapalestina haoni kama ni ukatili. Sijajua yupo upande upi. Kobazi au mazayuni.Chondechonde Mkuu City Thunder OKC hawa makafiri wa msikitini na wenzao makafir wa kanisani wasikutoe kwa reli.Hapa mayahudi ya Kisemvule yanakufurahia ila kibao kikigeuka na yenyewe yatakubwekea kama wanavyobweka sasa waajemi wa Ikwiriri.
Huu uzi unaheshimika na unafuatiliwa sana sbb ya updates zako za uhakika zisizo na upendeleo.
Binafsi ktk huu uzi nasoma updates zako tu.
HONGERA na ASANTE kwa kutuhabarisha🙏🙏🙏
Ila myahudi mstaarabu Sana. Ingekuwa Iran ana Nukes Kwa jamba jamba aliyopewa hii wiki angeshashusha mda mrefu pale Tel- Aviv.Lakini myahudi anapigana Tu Kwa uwezo wa Iran wakati ana nukeSidhani kama hilo laweza kutokea kwa karne hii.....marekani wanajua madhara ya kutumia hayo mabomu na iliwagharimu sana kuijenga upya nagasaki na hiroshima pia ilitumia gharama kubwa kuwafanya raia wa japan wasiwe na kinyongo nao
Amelipua ofisi na mageti, lengo ni watu waende mitaani maana wengi ni political prisonersNaona wafungwa hao hawajanusulika kwenye hili Israel imelipiga gereza nchini Iran sijui watakuwa salama .
Kuna tofauti kati ya kuwin ambush na kuwin vita.Mkwawa alikua kobazi
Acheni masihara nyie. Gaza imechakazwa jamani!!! Nani anakumbuka ule mji wa aleppo kule syria. Au Bamkut kule ukraine. Mtangazaji m1 wa aljazeera alisema life expentation ni 6 hours ukiwa hapo bamkut. Kila hatua unayokanyaga unakanyaga danda la risasi...Wapalestina walichofanywa hawatakuja kurudia tena ule usenge waliofanya october 7 2023.Israel huyu ambaye Hamas wamemtoa jasho Gaza?
Au Israel ipi?
Mkuu unaongea tu kama chombo kisichoongozwa.Acheni masihara nyie. Gaza imechakazwa jamani!!! Nani anakumbuka ule mji wa aleppo kule syria. Au Bamkut kule ukraine. Mtangazaji m1 wa aljazeera alisema life expentation ni 6 hours ukiwa hapo bamkut. Kila hatua unayokanyaga unakanyaga danda la risasi...Wapalestina walichofanywa hawatakuja kurudia tena ule usenge waliofanya october 7 2023.