Na kwa Taarifa yenu tu ni kwamba baada ya Marekani kumaliza Shughuli katika ile Mitambo ya Nyuklia ya Iran Juzi usiku tayari kwa 75% Iran imeshanyong'onyezwa Kiuwezo huku Israeli (Taifa la GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE) likimaliza rasmi Kuziangamiza Ngome Kuu za Kijeshi za Iran.
Na kinachomuumiza zaidi Iran kiasi kwamba hivi sasa hata Kiongozi Mkuu wa Iran amejificha katika Handaki huku akilindwa na Makomandoo ni kwa Mataifa aliyokuwa akiyategemea ya Urusi, Korea Kaskazini na China Kumchunia kwakuwa wameshapima na kuona kuwa Wakijiingiza Kichwa Kichwa kumsaidia yatawakuta makubwa hasa Kijeshi na Kiuchumi ukizingatia kwa sasa hali ya Uchumi kwa nchi za Matajiri ni mbaya huku ya Tanzania ikiwa ni nzuri sana (hata kuwazidi Wao) kwa mujibu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.