SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hivi ukiangalia kitu Israel anacho wafanyia watu wa gaza unaweza sema ni nani gaidi kati ya Iran na Israel.
Maana Israel anacho kifanya huko gaza ni unyama ambao hata shetani mwenyewe ana pingwa butwaa.
Bila Hamas na Hezbollah kupigwa Iran angekuwa na bomu Xmass ya 2026.
Israel kahusika kwa sehemu kubwa kupanga 2023 kupitia mawakala wake, Hamas wakaingia mkenge, Israel akajifanya haoni ili wananchi wapate hasira. Kafanikiwa
 
Naamini Urusi naye anapigika vizuri, ni vile tu hawajaamua kumtoa pale, hata Ukraine alipewa silaha nzuri anamtoa vizuri tu
Urusi hana pesa tena. Hawezi kuingia kwenye vita nyingine wakati ka Ukraine tu kanamtoa kamasi. Yani atapigwa mpaka aanze kutishia nyuklia maana ndio la mwisho.
 
Missile interceptors ndio zilikuwa zinatumika Vietnam war miaka ya 1960s.
Iran leo 2025 wanazitegemea hizo baada ya missile systems kuharibiwa vibaya. Ndio imeisha hiyo hakuna turning point.
Naona hata manpad Wenda nazo wakawa na upungufu mkubwa
 
Urusi hana pesa tena. Hawezi kuingia kwenye vita nyingine wakati ka Ukraine tu kanamtoa kamasi. Yani atapigwa mpaka aanze kutishia nyuklia maana ndio la mwisho.
Pesa na silaha anajitosheleza sana ila sikiliza mchambuzi huyu..
 
Four official sources in the Iranian government describe the atmosphere following the American attack on the nuclear facilities as a national defeat and humiliation, and said that there is disagreement about how to respond.
 
Waliondoa wenyewe enriched uranium wakijua nini chaja,halafu pawe na disagreement?.. propaganda za kitoto
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-23-13-40-17-581.jpg
    Screenshot_2025-06-23-13-40-17-581.jpg
    380.2 KB · Views: 18
Inachofanya israel ni kumuacha kidogo mpinzani wake naye arushe kidogo ngumi na mateke ili dunia ione kumbe naye mpinzani anapambana huku yenyewe ikiwa na lengo la kuifanya iran ichakae kabisa iwe kama gaza
 
Back
Top Bottom