SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Inachofanya israel ni kumuacha kidogo mpinzani wake naye arushe kidogo ngumi na mateke ili dunia ione kumbe naye mpinzani anapambana huku yenyewe ikiwa na lengo la kuifanya iran ichakae kabisa iwe kama gaza
Jipe moyo
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-22-21-51-59-370.jpg
    Screenshot_2025-06-22-21-51-59-370.jpg
    317.6 KB · Views: 18
Mashambulizi haya ni ishara ya kuongezeka kwa mzozo wa hatari unaohatarisha maisha ya maelfu ya raia wasio na hatia. Badala ya kusuluhisha tofauti kupitia njia za kidiplomasia, hatua hizi za kijeshi zinachochea maafa, uharibifu mkubwa na kuzorotesha amani ya kikanda na duniani. Kauli kali kama za Pakistan kuhusu silaha za nyuklia zinapaswa kulaaniwa vikali kwani zinahatarisha usalama wa dunia nzima. Uongozi wa busara unahitajika sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Tukimaliza Iran inayofata ni pakistan
 
Back
Top Bottom