City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Reza Pahlavi anajiandaa na serikali ya mpitonya kideokrasia ya Iran.
Ngoja tusubirit kama hili litatokea
Ngoja tusubirit kama hili litatokea
Mh! kwaherini...🤣Death to America, death to Israel, Alahu Akbaru!
Death to America, death to Israel, Alahu Akbaru!
Angalia nan alikuja nchi za wengine ,wao wanataka ujinga wao wa demokrasia kwemue nchi za wenzao ..Wafungie na wao wasitoke nyege za nn?Halafu baada ya kusema maneno hayo tunaomba visa tuende Marekani 😂😂😂😍
Ukraine amekuwa akipewa silaha dhaifu na zikiwa restricted,nini kinafanya urusi isishinde vita ilivyovinzisha?.Ni silaha ipi ambayo Ukraine hajapewa? Mi naona Russia ndo anagusagusa ila angepiga kata funua vita ingekuwa imekwisha
Wanaoondoka ni raia kwasababu Irani anapiga makazi ya raia pamoja na raia wasio na hatia ili aonekane kachakaza israel. Tofauti na israel analenga maeneo muhimu ya iran ili airudishe iran mavumbini..Ukikaa humu unaweza kudhani Irani inateketetea ila ukifungua data vizuri unawaona waisrael na mabegi wanaondoka
crash iran, god bless israel, god bless americaDeath to America, death to Israel, Alahu Akbaru!
Mikoa 5 iko chini ya UrusiUkraine amekuwa akipewa silaha dhaifu na zikiwa restricted,nini kinafanya urusi isishinde vita ilivyovinzisha?.
Muogope sana ambaye haiogopi Israel.Israel imetangaza kuanza kufanya assassination operations ndani ya Tehran
Nadhani wameshambulia barabara ya kuelekea huko.Fordow imeshambuliwa tena leo
Niliweka hiyo taarifa mkuu, barabara ya fordow na maeneo kuzunguka fordowNadhani wameshambulia barabara ya kuelekea huko.
kwa kuwa Umejisahaulisha kuwa Mikoa hiyo ilikuwa inakalia na Urusi hata kabla ya Vita,ngoja na mimi niprented kama sijaona hii koment yako.Mikoa 5 iko chini ya Urusi
KALINZI NYUMBANIIsrael muda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora eneo la Road 7 huko Qom, hii ni highway yenye uelekeo wa fordow
KALINZI NYUMBANIIsrael muda mchache uliopita imeshambulia eneo linalozunguka fordow nuclear site
Wewe kama mdau unashauri nini kifanyike..?
Wawaachie wale vijana hawana hatiaWachokonozi walikuwa wanasema wanayazuia kwa mbinu za kikale.
Nasikia wako ndani na hawajatoka pamoja na kumiliki mbinu hizo.
Science yq mzungu haina longo longo