SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kwa kinachoendelea sasa inabidi kuiombea Israel, naiona Israel ikienda kuanguka kiuchumi na kijeshi, haya masuala ya uchambuzi hatuzungumzii ushabiki ila uhalisia wa kitu kinachoendelea...

Baada ya kufuatilia hii vita kwa muda sasa nimegundua kwamba Iran imeiingiza Israel kwenye war of attrition... sijui kwa kiswahili niweke vipi war of attrition ni mbinu ya kivita ya kuendelea kupigana kwa muda mrefu ili kumchokesha adui kiuchumi, kijeshi, na kisaikolojia. Lengo ni kumaliza rasilimali za adui hadi ajisalimishe au ashindwe kuendelea kabisa...

Iran wanaivuta Israel kwenye vita ya aina hii na hii ni rasmi, ukisikiliza viongozi wa ngazi za juu wa Iran wanasema Israel itachoka haraka na uongozi utaanguka.

Kila saa moja ya operesheni ya F‑35 hugharimu kati ya $44,000 hadi $55,000, Zaidi ya hapo, ndege hizi zinahitaji matengenezo maalum ya stealth coating baada ya kila misheni ambapo ni gharama kubwa, inayoongeza mzigo kwa Israel hasa inapolazimika kuzirusha kila siku.

Hapo hatujazungumzia F-16 na F-15 ambazo Israel hurusha mamia kuishambulia Iran, hizi ndege zote kila siku ziahitaji maintenance, air refueling na mizigo ya guided bomb missiles... kwa njia hii Israel inakuwa ina slow Iran kurusha mashambulizi makali kuelekea Israel..

Iran haitaki kuiona Israel ime relax na kukaa kwa amani, Iran inachotaka ni ndege za Israel zizunguke angani non-stop, wakiona wamejisahau wametulia wanarvurumusha makombora na kupiga miji ya Tel Avi na Haifa... IInataka Israel ijichoshe yenyewe kwa kujibu.

Israel inatumia mamilioni ya USD kwa usiku mmoja tu kukabiliana na makombora kutoka Iran, Lakini licha ya gharama hizo, makombora bado yanapenya na kusababisha madhara ya kiakili, kiuchumi, na kijamii.

Kwa sasa, hali ya ndani ya Israel inazidi kuwa ngumu, viwanda vimefungwa, kazi zimesimama , Maelfu ya raia wamekimbilia Cyprus kwa njia ya maji, wakikwepa vizuizi vya angani vilivyowekwa na serikali.Wengine wanaishi kwenye mahandaki, wakisubiri ving'ora vya tahadhari kila siku.Wawekezaji wanakimbia, soko la ndani linayumba, na nguvu kazi inapungua na hiki ndicho Iran inakitaka.

Mashambulizi ya Iran yamevunjilia mbali hali ya usalama ya kudumu ambayo raia wengi wa Israel waliwahi kuizoea. Kumbuka haijawahi kutokea hali hii toka kuanza kwa taifa la Israel.

Nawasikiliza wengi humu wakisema Iran imetoka kurusha makombora 100 hadi sasa wanarusha makombora 5 ama 10, wanasema imeishiwa launchers, pengine hawajui hii vita inapoelekea, . launcher si kitu , launcher ina gharama ndogo kuliko kombora lenyewe... hasa haya hypersonic ya Iran, pia launcher haina tech ambayo ni complex kama kombora, kingine launcher ni reusable.. Iran bado wana missiles city chini ya ardhi, wana makombora hayahesabiki.

Inawezekana nikaonekana napiga domo hapa lakini haya ni maneno ya Netanyahu mwenyewe, akionyesha dhahiri kuhofia kwa hiki kinachoendelea.
View attachment 3379990
View attachment 3379996

Sio kwamba Iran inashindwa sasa kurusha makombora 500 na drone 1000 kwa siku, uwezo wanao, kumbuka hawa jamaa walimpa Russia maelfu ya drones, hivyo huko chini ya ardhi sijui itakuwaje mzigo walionao... lakini wameamua kuivuta Israel kwenye ugomvi ambao Israel haitoweza kuvumilia ambapo ndio hii war of attrition.

Hivyo Iran inafanya kwa makusudi kile ambacho Israel walisema hawawezi, hata houthis walitaka kuanza war of attrition na US ikabidi Trump ayamalize haraka na Houthis... tukumbuke Iran ina uwezo mkubwa zaidi wa kuhimili vita ya muda mrefu...

Netanyahu amegundua hio vita ni ngumu na kwa jinsi Israel ilivyo haitoweza, uchumi utakuwa hovyo na jeshi litadhoofu...

Tumemsikia Trump juzi akiomba amani baada ya kufanya mashambulizi kwenye vinu vya nuclear vya Iran, Trump aliweka wazi kwamba yupo tayari kwa mazungumzo na rais wa Iran, kumbuka huyo ni mfadhili mkuu wa Israel, hii ina maana kwamba US pia ni mhanga kwenye hii vita.

Iran ina silaha nyingi sana chini ya ardhi , maelfu ya makombora na drones, Iran ina eneo kubwa kuliko Israel, Israel inaingia Iran zaidi ya mara 70 kwa Iran... Iran ina population kubwa kuliko Israel... hivyo kwa hizo points utagundua nani ataanza kudhoofu kabla ya mwenzake... Iran wana experience ya vita vya muda mrefu na Iraq kwa miaka 8.

Hayo makombora ya Iran wanaweza kuyafyatua kutokea kwenye mashimo, hayo mahandaki yao yana sehemu ya kufanyia launching...

Baadhi ya Maoni mbali mbali ya wachambuzi mbali mbali huko twitter...

View attachment 3380078

View attachment 3380084

View attachment 3380088

View attachment 3380092

Nimetoa angalizo, Israel haishindi hii vita, wakitoa tu ndege zao anga la Iran na Iraq, Iran inashambulia kwa nguvu zaidi, Israel wanarudi tena kufanya mashambulizi... ngoja tuone watadumu kwa muda gani...
😂
Gharama zote zitalipwa na Iran

Namna gani? Jibu utalipata mwisho wa vita😎
 
Mkuu ngoja tusubiri wala hakuna haja ya kubishana.
Lakini jua tu hao bado watapigana sana
Israel hawezi kuacha kushambulia akipigwa,hilo ni moja na si hoja hapa,hoja ni israel kaomba vita viishe na Iran kagoma,chanzo ni cha kuaminika, wall street journal...kwanza kiri wsj wamesema,pili kiri kwamba wsj ni chanzo cha kuaminika kwenye siasa za magharibi
 
Jeshi la Israel limetoa order kwa wakazi wa katikati ya Khan Younis kuhama
20250623_155759.jpg
 
Kwamba unamuacha muuni ampige romance mkeo ili achoke uje umshike vizuri
 
Israel hawezi kuacha kushambulia akipigwa,hilo ni moja na si hoja hapa,hoja ni israel kaomba vita viishe na Iran kagoma,chanzo ni cha kuaminika, wall street journal...kwanza kiri wsj wamesema,pili kiri kwamba wsj ni chanzo cha kuaminika kwenye siasa za magharibi
Sawa mkuu, ngoja tusubiri
 
Iran wadhaifu sana kwa namna Israel alivyoitembezea bomba hata kama wanasema ni kwa msaada wa USA ila bado Israel kaonyesha ana akili kuliko iran, na iran wakifanya mashambulizi ya kisasi wanaweza umia zaidi sababu wanayafanya kwa hasira na yanafanywa na viongozi wapya maana wakali wa hizo kazi za vilipuzi plus mchuzi mix wa missiles na drones washatangulizwa kufaidi bikira za vitoto vya afu mbili ahera

#RIP mtoto Aisha ulibakwa
Shida yenu ni ushabiki ila ukweli mnajua kwamnba Iran inapambana SANA Kiume Jiulizeni nyie mkipigwa surprise ya kuuwawa na CDF mnafanyaje?? ni janga kubwa ila jamaa kwa utulivu wakajipanga na wanapeleka moto mkali sana basi tu habari kule ni za kuzuiaa...
 
Back
Top Bottom