SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Shida yenu ni ushabiki ila ukweli mnajua kwamnba Iran inapambana SANA Kiume Jiulizeni nyie mkipigwa surprise ya kuuwawa na CDF mnafanyaje?? ni janga kubwa ila jamaa kwa utulivu wakajipanga na wanapeleka moto mkali sana basi tu habari kule ni za kuzuiaa...
Hamna kitu hapo myahudi anatisha kazi aliyoifanya Leo namvulia kofia wadanganye wajinga
 
Hiyo picha ya netanyahu imetoka hadharani zaidi ya siku nne zilizopita, habari za kuuawa mkuu wa mossad ni za leo
Hizo habari za kuwa kwa boss wa mossad zilianza Tangu 6 days ago.
Kuna mtu kaanzisha Uzi post yake inasema alikufa Tangu tarehe 20 mwezi huu.

Labda watakuwa washazika tayari.
Ila duniani hapa hakuna kuficha kitu mda utaongea tuu.
Tusubiri
 
Naombeni kujuzwa na pro USA/Israel.
Iwapo USA/Israel anamiliki maelfu ya nyuklia, anamiliki kwa ajili ya vita gani?
Na kama ni dhidi ya nchi mahasimu, kwanini Iran asimiliki silaha kama zake ilhali uwezo wa kifedha na kitaaluma anao kama nchi nyingine zinazomiliki silaha hizo?

Na kwa mamlaka gani aliyonayo Israel anamkataza Iran asimiliki nyuklia wakati yeye binafsi anamiliki?
 
Ikulu ya marekani muda huu inasema Intelijensia inaonyesha Iran ilikua na wiki kadhaa tu kuunda nyuklia

Israel inasema/ilisema Ilikua na siku mbili au tatu mbele kuunda nyuklia
Sio wa kuwaamini hao kuhusu nuclear, maana CNN wali publish Netanyahu akituhumu Iran kuunda bomu la Nuclear Tangu 1996 mpaka Leo anawatuhumu tu.
 
Naombeni kujuzwa na pro USA/Israel.
Iwapo USA/Israel anamiliki maelfu ya nyuklia, anamiliki kwa ajili ya vita gani?
Na kama ni dhidi ya nchi mahasimu, kwanini Iran asimiliki silaha kama zake ilhali uwezo wa kifedha na kitaaluma anao kama nchi nyingine zinazomiliki silaha hizo?

Na kwa mamlaka gani aliyonayo Israel anamkataza Iran asimiliki nyuklia wakati yeye binafsi anamiliki?
NUKE inatakiwa kumilikiwa na tawala zenye zenye viongozi ambao wana sound/rational mind
 
Mkuu Hakuna nchi inayopenda kushambuliwa, Israel anatamani lisipenye hata kombora moja ndani ya ardhi yake, hivyo hivyo Iran pia inatamani ndege hata moja isiingia na kurusha makombora ndani ya ardhi yake. Haya yanatokea sababu kila mmoja ana udhaifu kwenye mifumu yake ya ulinzi(mifumo ya ulinzi haina ufanisi kwa 100%)

Sio Israel tu wanaoingia gharama kubwa ya Vita, hata Iran wanaingia gharama kubwa na inakadiriwa kwa shambulio moja la makombora analofanga Iran linagharimu around $80 million to $100million
Mkuu uchambuzi humu kuhusu kutofanikiwa kwa US au Israel kupiga vinu vya nuclear vya Iran nilifanya kwa kuandika uzi hapa 2020.. guess what? ndicho kimetokea, na juzi hapa nilikuwa namuambia mtu, hata B-2 spirit haitoweza haribu vinu vya Iran, na ndicho kimetokea.....

Israel imeingizwa kwenye vita ambayo si rahisi kutoka, Israel kuna kampuni nyingi za US zilizowekeza kampuni, maabara za R&D(research and development) na sasa zimefungwa, kuanzia hizo intel, microsoft, google n.k

Google wana R&D center kubwa Israel, ni cybersecurity startup iliyovunja rekodi kwa uwekezaji wa $32 billion dollars...

Microsoft wana center ya R&D Israel... juzi hapa Iran iliporomosha kombora katika hio ofisi.

Intel wana office Israel, hii ofisi ya intel pale Israel ni muhimu sana katika operations za hio kampuni duniani, wana manufacturing centers na wana ofisi nyingi Israel.

Qualcomm, salesforce n.k hizo ni kampuni kubwa za tech ambapo imebidi wasimame tokana na vita inayoendelea...

Iran ina vikwazo karibu miaka 50, hakuna kampun ya kimarekani ya tech kubwa itakwenda kuwekeza Tehran..

Elewa kitu kimoja, Israel haipo designed kuhimili hiki kinachoendelea, ndio maana nakuambia Israel ipo nafasi mbaya... kama unabisha nitakukumbusha siku moja....

Hao Iran wapo kwenye vikwazo vya miongo na wanaelewa jinsi wanavyo survive, hata kivita Iran ni wakomavu katika migogoro ya muda mrefu ikiwemo vikwazo vikali, Israel haiwezi hilo battle... hii vita Israel kajitakia acha apmbane tuoe mwisho wake, mwisho wake si mzuri...
 
Back
Top Bottom