SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ukitoa vita ya six days war ambapo ilikua nyakati za giza huku US ikiwa na vifaa na silaha za kisasa kwa wakati huo ambao ilimsaidia Israel labda utazungumzia operation Entebbe ambapo Uganda hata sisi Tz na unyonge wetu tuliitwanga UG.

Vita nyingi Israel imepambana na vikundi vya migambo, vita nyingi Israel inasaidiwa kila kitu na US, US sasa Trump ana sera yake ya MAGA ambapo aliahidi US kuacha vita na wapambane kuifanya US kuwa kubwa kiuchumi, kiushawishi, kijeshi, kisiasa n.k, yaani US irudi ilivyokua...

Lakini vita inayoendelea mashariki ya kati inachochea US kutotekeleza hayo, je US itamwacha Israel apambane kivyake?

Iran imekuwa kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa karibu miaka 50, Iran imekuwa kwenye migogoro na majirani kwa muda, na bado wamefikia hapo walipo kiteknolojia, Iran imepambana na Iraq iliyopewa misaada na US, majirani wake, USSR na nchi za EU.. lakini haikushindwa...

Israel hana cha kuitisha Iran, ni suala la muda tu....
Hivi hilo suala la kusema Iran ameendelea kiteknolojia muda mwingine mnamuona kama father of technology huwa mnazingatia nini?
 
Hivi hilo suala la kusema Iran ameendelea kiteknolojia muda mwingine mnamuona kama father of technology huwa mnazingatia nini?
Uhitaji kuvaa miwani kujua kuwa Iran imeendelea kiteknolojia hata kama sio bora kama mataifa mengine makubwa.

Kilicho iferisha Iran na kupata pigo la kushutukiza ni Intelegensia yake.
 
Picha ya muda,huyo mkuu wa mossad kobazi washapita nae shambulio la hospital
Watakwisha kwasasa Netanyahu kajichanganya sana !!!

siku baada ya siku ndio Iran inadhidi kurthibiti Anga lake kwa kuwafeka Mossad ndani ya iran !!!

baadae Iran wataomba Tramp apeleke tena B- 52 watalipia mafuta wao !!!

wataelewa kwann iran ndio Baba wa high Technology .
 
Iran waliamua kuja na military doctrine ya kwao mpya. Ila imeshindwa mapema sana kupambana na superior enemy. Inawafaa kupigana na jirani sio mtu wa mbali.

Mfano wangekuwa na Navy nzuri ingesumbua Israel maana Israel wenyewe wana moderate Navy.

Au Iran angalau wangekuwa na air superiority fighter jets wangeleta tishio angani kwa Israel. Au wangepigwa ila baadae sana. Ila sasa hawana modern fighters. Walikuwa wanazungushwa na Urusi isiwape Su-35.

Na kwa ubishi wao na incompetency hawakuwa wanajifunza mbinu za kisasa kwa mataifa rafiki. Maafisa wao inaonekana wamejifungia, vyuo vya kijeshi vinafundisha wanachoamini wao.

Kuna sababu kwanini NATO kila mwaka wanaendesha mafunzo. Kuna sababu kwanini Urusi ilianzisha International Army Games nchi kama 30 zinaitwa zishiriki. Nchi zilizonunua vifaru Urusi huwa wanafanya Tank Biathlon na kilaza anajulikana pale.

Iranians wao ni kujiamini kupitiliza na ile sera ya kumpambania Allah kujitoa mhanga. Wachina wanajiamini ila hawapitilizi wala kuchokoza kimakusudi na kujitapa.
Nafikili ata viongozi wa jeshi wanateeuliwa coz ya itikadi ya kidiji
 
Kuna kitu kinakwenda kutokea...
41.png
 
Kichwa cha netapussy ndio kinahitajika
Uyu sio sasa ngoja kwanza atazame kwa macho yake kichapo kutoka Iran !!!

na Marekani kakimbiza Wajeda wake wote pale mashariki ya kati !!

NETANYAHU kabaki mkiwa !!

Iran chapa tu Baba wamekuja na Meli wataondoka na miguu yao. !!

Kila nikiona GAZA apana Baba chapaaaa kama zambi zako tutagawana tu Baba lkn pigaaa.
 
Back
Top Bottom