City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Amit Segal anasema Israel imefanya mashambulizi zaidi ya 100 kwa ndege kwa masaa mawili yaliyopita
Tutajie silaha hazayo Ukraine haijapewa mpaka sasa ambazo una hisi akipewa zitafanya maajabu ya kuishinda Urusi.Naamini Urusi naye anapigika vizuri, ni vile tu hawajaamua kumtoa pale, hata Ukraine alipewa silaha nzuri anamtoa vizuri tu
Mbona kama kuna mlipuko wa pili au hiyo ni store ya milipukoVideo footage (unconfirmed): mashambulizi ya Israel sepah
Wewe kama mdau unashauri nini kifanyike..?Tazama kilichosalia kutoka moja ya kombora la balestiki ambalo lilidunguliwa juu ya anga ya Israeli.
Kumbuka, hata kama mifumo ikifanikiwa kudungua kombora, mabaki yaangukayo bado ni hatari kwa watu walio chini na mali zao.. Uharibifu uko palepaleView attachment 3380026
Iran waliamua kuja na military doctrine ya kwao mpya. Ila imeshindwa mapema sana kupambana na superior enemy. Inawafaa kupigana na jirani sio mtu wa mbali.Naona hata manpad Wenda nazo wakawa na upungufu mkubwa
Naamini mwaka huu lazima nimgegede Taylor Swift, nipate tu namba yake amekwisha.Naamini Urusi naye anapigika vizuri, ni vile tu hawajaamua kumtoa pale, hata Ukraine alipewa silaha nzuri anamtoa vizuri tu
Nchi zenye nguvu za kiaarabu zinaisapoti Isarel kuimaliza Iran, hawamtaki Ayatoulah
View attachment 3379885
Death to America, death to Israel, Alahu Akbaru!Wewe kama mdau unashauri nini kifanyike..?
Wachokonozi walikuwa wanasema wanayazuia kwa mbinu za kikale.Tazama kilichosalia kutoka moja ya kombora la balestiki ambalo lilidunguliwa juu ya anga ya Israeli.
Kumbuka, hata kama mifumo ikifanikiwa kudungua kombora, mabaki yaangukayo bado ni hatari kwa watu walio chini na mali zao.. Uharibifu uko palepaleView attachment 3380026