SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Attachments

  • IMG_20250623_090915_095.jpg
    IMG_20250623_090915_095.jpg
    66.8 KB · Views: 18
Kukata umeme hata TANESCO wanakata😇
Kupigwa Israel na high technology' vipi unachukulia poa

adi sasa Iran yupo kwake ajatoka kwake na miji ya Israel imekuwa Gaza !!!

wkt Israel imebidi apeleke nguvu kazi watu ndani ya Iran yani Mossad wamejitolea kufa mana ukikamatwa ni kifo tu!!!

Mossad waka angaike kupiga kigaid Air Defence System za Iran ndio sasa ndege zao zimepata chochoro ya kuingia Anga la Iran !!!

apo vipi ujagundua tu KUWA IRAN NI BABA WA HIGH TECHNOLOGY
 
Babu wa teknology Ayatollah anafichama mapangoni? Israel wana party tu
 
🇷🇺🇮🇷 Everything depends on what Iran needs' — Kremlin spox Peskov on Russia’s readiness to assist Iran

'We have offered our mediation efforts. We have stated our position. This is one form of support for Iran. But going forward, everything will depend on Iran’s needs.

Source - RT

#russia #iran
 
Israel imetoa sababu ya kushambulia lango kuu la gereza la Evin, Israel wanasema ni sababu kulikua na wafungwa wa kisiasa pamoja na wakosoaji wa serikali
View attachment 3380013
Huu ni mwanzo wa kusababisha civil war. Yani baada ya hili tukio tutarajie internal chaos and unresting. Kama kuna wafungwa wametoroka wanaenda kupewa silaha. Mwanzo wa safari ya regime change
 
Yah
Maana wanaangusha drone kwa kitumia anti-aircraft gun
Drone za Muisrael zinaangushwa hata na Gobole, sio sophiscated na advance kivile kuwaste vifaa vya kisasa.

Refer vita vya India na Pakistan, India alizitumia live watu walikua wakirecord zikishushwa na Bunduki za Kawaida tu.

Hizo Hermes 900 zinacost between 6m-30M kutegemea na zipo equipped na Nini.

So far Iran wanasema wamezidondosha 130 leo na picha kibao zimesambaa social media.

20250623_181851.jpg
 
Back
Top Bottom